mediaman
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 451
- 688
Ulifunga ndoa Kanisani, mkasherehekea sana harusi. Baada ya siku chache ukaachana na mke wako, kisha ukaoa mke mwingine. Haukupita muda mrefu ukampa talaka. Kwakuwa hukuweza kuishi peke yako ukaoa tena kwa mara ya tatu mke mwingine.
Utafanyaje ukisikia sauti ya Yesu inakuambia "huyo mke uliye naye sasa sio mke wako..." Utakuwa tayari kumwacha na kumrudia yule mke wa kwanza? Au utapuuza tu sauti hiyo na kujitetea sana?
Siku hizi ndoa nyingi zinavunjika, na watu wanapeana talaka kama risiti.
Katika kitabu cha Yohana 4:16-18
Yesu alimwambia mwanamke msamaria "...nenda kamwite mumeo, uje naye hapa. Yule mwanamke akajibu, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume; kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siyo mume wako; hapo umesema kweli."
Naamini hata leo kuna watu wengi wanaoisikia sauti ya Yesu ikiwaambia: huyo mke/mume sio wako, lakini wanajifanya hawasikii.