Huwezi kuwa Tajiri bila kuchukua Risk

Huwezi kuwa Tajiri bila kuchukua Risk

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,762
Reaction score
37,390
Asilimia kubwa sisi wanadamu tunaogopa kurisk.

Nimetanguliza neno risk sio kwa sababu kila jambo unaweza risk.

Mfano: Leo utashangaa kuona kila mtu anaiga biashara ambayo ipo tayari kwenye soko, jiulize wali risk wote jibu linakuja hapana.

Biashara zenye kukupa utajiri zimejaa risk sana na watu wengi kuogopa au kuthubutu mpaka amuone fulani kajaribu na alivopitia ndio yeye afanye huku hafahamu risk ilivyo.

Tatizo kubwa kuanzia ngazi za juu mpaka wananchi swala la elimu ya risk management.

risk management elimu hii kwa tanzania inatakiwa kuwa stashaada kabisa ili kupata wataalamu watakao kuwa wanaweza kutambua na kuendesha ili kukabiliana na risk.

IMG_7461.jpg
 
Asilimia kubwa sisi wanadamu tunaogopa kurisk.

Nimetanguliza neno risk sio kwasababu kila jambo unaweza risk.

mfano:leo utashangaa kuona kila mtu anaiga biashara ambayo hipo tayari kwenye soko.jiulize wali risk wote jibu linakuja hapana.

Biashara zenye kukupa utajiri zimejaa riski sana na watu wengi kuogopa au kuthubutu mpaka amuone fulani kajaribu na alivopitia ndio yeye afanye huku hafahamu risk ilivyo.

tutatizo kubwa kuanzia ngazi za juu mpaka wananchi swala la elimu ya risk management .

View attachment 2258198
"Risk"maana yake nini mkuu!?
 
Kabla ya risk ni creativity au ubunifu, watanzania vichwa vetu, uwezo wa ku invent biashara mpya havina wawe graduates professor au viongozi, ni copy an paste ya biashara za watu....... elimu yetu haitupi task ya kufikilia kwanini? Our brains are domants ndo maana utaona kijana wa kitanzania ata ota kipara at 50yrs wakati mtoto wa kinzungu Japan au Korea ata ota kipera at 25yrs kwanini anaipa brain task ya ku overthing new invents ili husababisha brains ku expand au kupanuka zaidi kinacho sababisha upotevu wa nywele.
 
mfano mimi mtaji wangu niliupata kwa kuiba na kununua vitu vya wizi.la sivyo hata mkopo benk nisingepewa maana nilikuwa sina mtaji.kwa hiyo ni risk [emoji23]
Uli risk sana kwenda jela
 
Asilimia kubwa sisi wanadamu tunaogopa kurisk.

Nimetanguliza neno risk sio kwasababu kila jambo unaweza risk.

mfano:leo utashangaa kuona kila mtu anaiga biashara ambayo hipo tayari kwenye soko.jiulize wali risk wote jibu linakuja hapana.

Biashara zenye kukupa utajiri zimejaa riski sana na watu wengi kuogopa au kuthubutu mpaka amuone fulani kajaribu na alivopitia ndio yeye afanye huku hafahamu risk ilivyo.

tutatizo kubwa kuanzia ngazi za juu mpaka wananchi swala la elimu ya risk management .

risk management elimu hii kwa tanzania inatakiwa kuwa stashaada kabisa ili kupata wataalamu watakao kuwa wanaweza kutambua na kuendesha ili kukabiliana na risk.

View attachment 2258198
😂😂🤸‍♀️☝️yaani wewe jamaa unashindwa kuandika riziki unaandika riski. Bila shaka ni mpaka ujue riziki ya Biashara ndio utafanya kwa ufanisi.

Shida ya kunakiri na kudurufu bila kuelezea kulingana na mazingira uliyopo. Sasa watu watatambua nini kuhusu hiyo risk kwenye biashara. Umejaribu kutafsiri lakini muuza chipsi wa Buza anaelewa nini hiyo Risk? Ungemweleza ingependeza zaidi
 
Wewe mtoa mada una utajiri wa kiasi gani?Maana Motivational speakers wameshatuchosha sana

Mtoa mada ana utajiri wa kula milo mitatu kwa siku wewe mwenyewe unajua jinsi ilivyo ngumu Africa kupata hata mlo mmoja na bando la kuperuzi JamiiForums [emoji851]
 
Back
Top Bottom