Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,615
- 2,265
Duh, umenitoa kwenye shimo moja ukanitumbukiza kwenye shimo jingine,maana yake kuthubutu kwenye hatari au loss
"Loss" maana yake nini mkuu!?
Duh, umenitoa kwenye shimo moja ukanitumbukiza kwenye shimo jingine,maana yake kuthubutu kwenye hatari au loss
Hahaaa oyaa [emoji23]Ndio hivo dogo ADRIZ licha ya kua muislamu anauza kitimoto sinza mugabe ndio kutake risk huko
Hahaha ko wenye upara wana akili, endelea kujipa moyo na ilo kovu kichwani sijawahi ona genius ana kipaala kwanzia kina Plato aristotle, Isaac newton, Faraday nkKabla ya risk ni creativity au ubunifu, watanzania vichwa vetu, uwezo wa ku invent biashara mpya havina wawe graduates professor au viongozi, ni copy an paste ya biashara za watu....... elimu yetu haitupi task ya kufikilia kwanini? Our brains are domants ndo maana utaona kijana wa kitanzania ata ota kipara at 50yrs wakati mtoto wa kinzungu Japan au Korea ata ota kipera at 25yrs kwanini anaipa brain task ya ku overthing new invents ili husababisha brains ku expand au kupanuka zaidi kinacho sababisha upotevu wa nywele.
Watu kama nyinyi ndio mwiba wa fikra chanya...hata kama yeye sio tajiri... haimzuii kujua ni nini unatakiwa kufanya na kuweza kufanikiwa na kuwashauri watu wengine..ni kama mwanafunzi anayekuwa professor..Wewe mtoa mada una utajiri wa kiasi gani?Maana Motivational speakers wameshatuchosha sana
Sawa,tuma salamu kwa watu watatu tafadhali.Watu kama nyinyi ndio mwiba wa fikra chanya...hata kama yeye sio tajiri... haimzuii kujua ni nini unatakiwa kufanya na kuweza kufanikiwa na kuwashauri watu wengine..ni kama mwanafunzi anayekuwa professor..