Huwezi kushindwa

Huwezi kushindwa

Umekosa mkuu
Sijakosa mkuu. Niliona hiyo hali ya kama kuzidisha kwa 11lakini nilitaka kusumbua akili yangu zaidi.Kinachotakiwa ni uwe na strong argument point ya jibu lako. Si lazima nifuate wale wanaosema kwamba mkokotoaji alikua anazidisha kwa 11throughout! Kwa kuwa mtoa swali hajaenda mpaka kwenye double digits tukajua hasa action aliyokuwa anafanya, naweza kusema na kusimamia kwamba mkokotoaji alikua ana ongeza tu namba kama hiyo mbele ya namba ya awali,nalo ni jibu sahihi. i.e 1=11„2=22„3=33„4=44„5=55„6=66.......9=99„10=1010„11=1111„12=1212„13=1313„14=1414 and so forth!.So,the correct answer depends more on logic than just calculations!
.
 
11=1

Naomba zawadi yangu 😉
 
Kama kuna C ambayo unazidisha na hizo namba kulia, na hiyo C ni 11, basi jibu ni 121.

Ila kama hakuna C, basi inabidi tu kusema:

Let X=1 and Y=11. If X=Y, then Y=X....... jibu hapa linakuwa 1.

Tatizo hakuna uhakika kama hiyo C ipo au haipo......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom