11*11=121
rahisi sana mbona
unaitaka sasaivi au ni home work?
Nakuekea siku nikikupa nakupa zote kwa pamoja
1X11 = 11
2X11= 22
3X 11 = 33
4X11=44
5x11=55
6x11=66
.......
......
......
11x11=121
ha ha ha hapana itakuwa 1111 🙂Acha umbulula, umeshaambiwa 1 is equal to 11 (yani 1=11) sasa unaulizwa 11 ni sawa na nin? (jubu sahihi: 11=1)
cc ladyfurahia
utafiti
mimi49
ha ha ha hapana itakuwa 1111 🙂
ha ha ha hapana itakuwa 1111 🙂
Njia rahisi nikusaidie Dear: $100 = Tsh 1600 ok?; Je Tsh 1600 = $ Ngapi?
Jibu ni 121Nipe jibu