King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,374
- 88,603
Yes nchi haiokombolewi kwa karatasi bali kwa ncha ya Upanga.Nadhani mmeona kilichotokea tarehe 29 mpaka tarehe 3 Sasa nimeona watu wanasema eti tarehe 9 wanaenda kuchukua nchi yao my friend tanzania jeshi lipo na mtawala polisi wapo na matawala usalama wa taifa wako na mtawala.
Hawa wote wanapenda wananchi wanavyouliwa na wao pia wanashiriki Kwa asilimia 100% Ili wapandishiwe mishahara na Kila siku wanapandishiwa mishahara Ili masikini akiongea apotezwe hupati nchi Kwa mabango na kupiga kelele njia wote tunaijua sikutarajia kama raia mtakurupuka kwenda kufa tena tarehe 9 huku nguvu kazi ambao ni vijana majasiri wa kuingia msituni ikiisha yaani mpaka Sasa mkunda kashawaambia wanajeshi wajae ikulu na bungeni siku hiyo.
Hivi kwa akili yenu mnaweza kupita mkiwa na mabango yenu? njia pekee nafikiri mnaijua ni vinginevyo CCM watatawala sana.
Mmmhhhhhh Ni lazima kuliamsha Dude ndipo ukombozi upatikane.