Huwezi kukomboa nchi Afrika wa mabango

Huwezi kukomboa nchi Afrika wa mabango

Scared

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,848
Reaction score
17,504
Nadhani mmeona kilichotokea tarehe 29 mpaka tarehe 3 Sasa nimeona watu wanasema eti tarehe 9 wanaenda kuchukua nchi yao my friend tanzania jeshi lipo na mtawala polisi wapo na matawala usalama wa taifa wako na mtawala.

Hawa wote wanapenda wananchi wanavyouliwa na wao pia wanashiriki Kwa asilimia 100% Ili wapandishiwe mishahara na Kila siku wanapandishiwa mishahara Ili masikini akiongea apotezwe hupati nchi Kwa mabango na kupiga kelele njia wote tunaijua sikutarajia kama raia mtakurupuka kwenda kufa tena tarehe 9 huku nguvu kazi ambao ni vijana majasiri wa kuingia msituni ikiisha yaani mpaka Sasa mkunda kashawaambia wanajeshi wajae ikulu na bungeni siku hiyo.

Hivi kwa akili yenu mnaweza kupita mkiwa na mabango yenu? njia pekee nafikiri mnaijua ni vinginevyo CCM watatawala sana.
 
Waache waje. Stock ya marisasi na mabomu ya moto bado ipo. Mafwele hacheki na kima
 
Hujielewi unachokiongea ni jambo baya sana hiyo mnayotengeneza ni hatari na kagame anaangalia Kwa jicho la pili anayatamani sana madini ya pale kahama kama watanzania wakienda kumuomba msaada nakuhakikishia asilimia 100% kagame anawapatia silaha na wanajeshi wa kuwatrain tena jamaa anasilaha nzito kuliko za jeshi la tanzania sana na nchi inachafuka yeye anabeba madini kumbuka mia m23 ni kagame na kagame ni m23
 
Nadhani mmeona kilichotokea tarehe 29 mpaka tarehe 3 Sasa nimeona watu wanasema eti tarehe 9 wanaenda kuchukua nchi yao my friend tanzania jeshi lipo na mtawala polisi wapo na matawala usalama wa taifa wako na mtawala.

Hawa wote wanapenda wananchi wanavyouliwa na wao pia wanashiriki Kwa asilimia 100% Ili wapandishiwe mishahara na Kila siku wanapandishiwa mishahara Ili masikini akiongea apotezwe hupati nchi Kwa mabango na kupiga kelele njia wote tunaijua sikutarajia kama raia mtakurupuka kwenda kufa tena tarehe 9 huku nguvu kazi ambao ni vijana majasiri wa kuingia msituni ikiisha yaani mpaka Sasa mkunda kashawaambia wanajeshi wajae ikulu na bungeni siku hiyo.

Hivi kwa akili yenu mnaweza kupita mkiwa na mabango yenu? njia pekee nafikiri mnaijua ni vinginevyo CCM watatawala sana.
Hakuna sentensi. Hakuna aya. Ni mpayuko tu usio na mantiki wala substance kutoka kwa mtu asiyejua cho chote kuhusu utashi wa umma. Hata juzi hapa Nepal na Madagascar sijui hakusikia.

Ukweli ni kwamba hakuna jeshi, chama wala serikali inayoweza kupambana na wananchi ambao hawaogopi kufa na ikashinda. Na ni vigumu sana kuwatawala watu ambao hawakutaki. Historia ina mifano mingi sana. Serikali itaua na kufunga lakini mwisho itasalimu amri tu. Tendeni haki!

20251112_102246.png
 
View attachment 3500636
Tumia akili Nepal na Madagascar majeshi Yao yamewaunga mkono Sasa jiulize tanzania walikua barabarani siku 6 na wameuwawa watu zaidi ya watu elfu 10000 kiasi kwamba ujue wananchi walishamaliza kazi hao wanajeshi wamekua kama masanamu wakati Madagascar watu wamekufa watu 26 tu jeshi limechukua nchi
 
Hujielewi hiyo mnayotengeneza ni hatari na kagame anaangalia Kwa jicho la pili anayatamani sana madini ya pale kahama kama watanzania wakienda kumuomba msaada nakuhakikishia asilimia 100% kagame anawapatia silaha tena jamaa anasilaha nzito sana na nchi inachafuka yeye anabeba mad
Hatari sana na tunapoelekea sio pazuri
 
Hujielewi unachokiongea ni jambo baya sana hiyo mnayotengeneza ni hatari na kagame anaangalia Kwa jicho la pili anayatamani sana madini ya pale kahama kama watanzania wakienda kumuomba msaada nakuhakikishia asilimia 100% kagame anawapatia silaha tena jamaa anasilaha nzito sana na nchi inachafuka yeye anabeba madini
Sasa wanasubiri nini kwenda kwa Kagame? Yaani wansubiri CCM iwaruhusu?? Ndiyo maana nakuambia Gen Z ya Tanzania ni mabwege tu
 
Endelea kukomenti Kwa mihemko yaweza kua umri mkubwa ila akili za mtoto watu kama nyie tunawaita. Makubwa jinga
Mbona haukufa kwenye maandamano wala kujeruhiwa? Wewe ni KEYBOARDWARRIOR tu, acha dharau!!

Kazi yenu na akina MangeKimambi ziko sawa, kuhamsisha wenzenu tu
 
Maandamano ya amani yana shida gani?
Hao watu ndio wataoleta matatizo nchi hapo kakaa Kwa akili yake anaona watu kupigwa risasi kwake ni furaha ila hajui raia wenye hasira Kali ndugu zao kuuwawa au wazazi wao kuuwawa wakishakabidhiwa silaha walipe kisasi sidhani kama ataendelea kuongea hicho anachoongea
 
Rais Yoweri Kaguta Museveni aliwahi Kusema kuwa wanaodhani Ballot Paper itamtoa kwenye kiti Cha Urais anawashangaa sana mana yeye alitwaa Nchi akitokea msituni
 
Kwa tulipo fikia nafata mali Kongo nazichimbia
Hiyo ndio itakavyokua na machawa wanakomenti kishabiki Sasa kama walikua wanalia hamna amani kipindi wananchi wasio na silaha wanaandamana je hao wananchi wakipata silaha nchi itakuaje
 
Back
Top Bottom