ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,880
- 60,912
Mungu hawezi kukupa vyote zaidi ya 50% waliofanikiwa maisha walikosea kuoaMapenzi ndiyo yamebeba Siri za wewe kufanikiwa.unaambiwa kosea kote usikosee Kwenye kuoa.mwanamke mzuri atakupenda jinsi ulivyo.mwanamke anaweza kukubadilisha kimawazo,ila usioee zezeta atakupoteza.unaweza ukafanya Jambo kubwa kwa ajili ya interest za familia,au kijiji ukasomea Kijiji.lakini yote tunafanya kwa sababu nyuma ya mwanaume Kuna mwanamke
Mungu hawezi kukupa vyote zaidi ya 50% waliofanikiwa maisha walikosea kuoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Very Obvious mamiloo,,Dunia imechange sana saiv Nakubaliana nawewe.Unaowaongelea hapo sio wanawake wa siku hizi
Wengi waliopo siku hizi wapo after money ili kula bata tu...sio maendeleo
Very Obvious mamiloo,,Dunia imechange sana saiv Nakubaliana nawewe.
and vise vesa is trueMkuu dunia inabadirika,watu kibao wametoboa bila kuwa na mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha et Ndege Yohana..!!
Kufa tu ili muda utoshe maana hakuna thamani ya uhai unaopewa na Mungu.Mambo ni mengi hadi muda hautoshi.
Lily mtoe haraka huyo anayetembea kwa madaha kwny pp lako[emoji57]and vise vesa is true
Badili title kuwa hakuna mafanikio kuwa "bila baraka za Mungu hakuna mafanikio yoyote kimaisha"Mapenzi ndiyo yamebeba Siri za wewe kufanikiwa.unaambiwa kosea kote usikosee Kwenye kuoa.mwanamke mzuri atakupenda jinsi ulivyo.mwanamke anaweza kukubadilisha kimawazo,ila usioee zezeta atakupoteza.unaweza ukafanya Jambo kubwa kwa ajili ya interest za familia,au kijiji ukasomea Kijiji.lakini yote tunafanya kwa sababu nyuma ya mwanaume Kuna mwanamke
hahaha kwanii nimtoe! na sio mara ya kwnz kuniambia hivyo mkuuLily mtoe haraka huyo anayetembea kwa madaha kwny pp lako[emoji57]
"Time is wealthy when it's timed consecutively"
Sent using Jamii Forums mobile app