Huwezi jua labda hapa ndipo tulipofika

Huwezi jua labda hapa ndipo tulipofika

PetCash

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,995
Reaction score
2,017
Jamii ya zamani iliconcentrate sana kumuweka mwanamke awe bora sana kimaadili kuliko mwanaume. Hata ikafikia ikijulikana binti kashiriki kinachostahili kushirikishwa mwenye ndoa basi aibu kwa familia na jamii ni kubwa kiasi kwamba wengine walifikia kumpiga mawe. Unaambiwa mabinti walikuwa wanalindwa 24/7....hata kumuuliza mwanaume njia kama binti kupotea ni kesi (Ooh nimemkuta binti wa fulani anaongea na dume palee! -hapo anashtakiwa)
Na ili kuzuia mabinti wasipende sana hayo mambo wakafikia kukeketa (Cruel genital mutilation!!)

Adhabu ya kupigwa mawe iliwastahili waasherati but lets face it bana, women ndo walihuwa wahanga wa hii makitu as if walikuwa wako peke yao.

My point is; Kwa jinsi baadhi ya wanaume wanavyotudhalilisha hivi (Like its really a shame to all men!!!) wanavyoshiriki na wanaume wenzao.
Sijui tumefika mahali ukimuona mtoto wako wa kiume akiongea na mwanaume ummind? Tuanze kuwafungia wanetu wa kiume na kudeclare freedom kwa girls?

 
loading 20%...........................................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!! error or no network connection
 
Imani yangu ni kwamba dhambi zote zinafadhiliwa na Lusifer aka Ibilisi, lakini dhambi hizi hata ibirisi hujitoa na kukaa pembeni:-
1. Maapenzi ya jinsia moja
2. Kumwingilia m2 (mwanamke) kinyume na maumbile
 
Mmiliki wa mtandao wa kijamii Facebook CEO Mark Zuckerberg amejiunga na wafanyakazi wa kampuni yake waliozidi 700 katika matembezi ya kusherekea maamuzi ya mahakama kuhusu haki za ndoa ya jinsia moja. Matembezi haya yamefanyika mitaa ya San Francisco Jumapili Asubuhi.

Mmiliki wa mtandao wa kijamii Facebook CEO Mark Zuckerberg Asheherekea Ndoa za Jinsia Moja

Tuombe Mungu hii kadhia isifike kiwango hiki huku kwetu....

Kinachosikitisha unakuta shoga likibobea halioni tena aibu linajitokeza tu hadharani......Ukijumlisha na hao wanaosupport yani majanga!!!
 
Imani yangu ni kwamba dhambi zote zinafadhiliwa na Lusifer aka Ibilisi, lakini dhambi hizi hata ibirisi hujitoa na kukaa pembeni:-
1. Maapenzi ya jinsia moja
2. Kumwingilia m2 (mwanamke) kinyume na maumbile
Hizo mtu utalipa mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom