Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Lady pepeta au?
yeah ..lady pepeta zinapoteza ladha sana.sana.!ww lady pepeta unazitumiaga😊
Lady pepeta au?
Naona zimepotea sokoni,wakina mama wengi inasemekana hawakuzipenda sana.yeah ..lady pepeta zinapoteza ladha sana.sana.!ww lady pepeta unazitumiaga![]()
Hahahaha ngoja waje mimi niko pembeni naangalia mpambano, pole best ana tabia ya wazaramo nao baadhi wako hivyo kusema kweli Wasukuma ni tofauti sana ukiwa jirani nao amani.😂😂😂😂njoo tu front...!sijajuaga bado mema ya waluguru as nimeishi nao kwa 10yrs nw..!nna jirani mluguru jaman...unajua nahis atakufa siku si zake😂😂...!naishia kumuonea hruma tu ..hapendi anakuona wknd unaenda town😂hapend kuona unatoka na wanao😂😂...hapend nipate mgen mwenye usafiri..anataka wagen wanaokuja na bodaboda tu😂😂!...yaan hawana jema jaman...!
tofauti ya wasukuma sasa...msukuma ana asili ya ukarimu yaan msukuma km una sherehe huna haja ya kumwalika anakuja mwenyeweee...anaingia front..humkut msukuma anasubiria aambiwe ale sasa mkuguru anataka abebwe abembelezwee yaan muda wotw unamuona anakijiba cha roho😂😂😂..
Hahahaha ngoja waje mimi niko pembeni naangalia mpambano, pole best ana tabia ya wazaramo nao baadhi wako hivyo kusema kweli Wasukuma ni tofauti sana ukiwa jirani nao amani.
😂😂😂Naona zimepotea sokoni,wakina mama wengi inasemekana hawakuzipenda sana.
Acha kudanganya. ....Mambo mengi yanayozungumzwa humu ni ya Waluguru wa zamani. Siku hizi kutokana na muingiliano wa makabila na watu toka maeneo mbalimbali, waluguru wamebadilika sana.
Hao wasukuma ndo buure kabisa, kwa u-trekta si wapingi, ila wakishavuna ndo utawajua kuwa ni mapimbi tu
Na baadhi ya mikoa madada poa washawashtukia, wanaenda kuweka kambi kwenye vijiji vyao kipndi cha mavuno
Ndo maana most of them, kazi kuubwa mafanikio nukta,
Sent using Jamii Forums mobile app

HahahTafadhali sana jiheshimu ww mluguru![]()
Kama wamebadilika labda mengine lakini uchawiMambo mengi yanayozungumzwa humu ni ya Waluguru wa zamani. Siku hizi kutokana na muingiliano wa makabila na watu toka maeneo mbalimbali, waluguru wamebadilika sana.
Nd wale wanakua wamekomaa?Wavidunda ndio wafupi sana na wenyewe hupenda kujitambulisha kama waluguru.
Chukua futi upime sample ya watu kumi kumi kila upande.
Mimi sidanganyi nasema nachokiona na wewe umetoa mtazamo wako. Uongo umetoka wapi tena mkuu? Uthibitisho wa ukweli wako upo wapi ili wangu uwe uwongo?Acha kudanganya. ....
Mm nameanza kuishi na waluguru 2012 haya tunayoyaongea ni currently
Sina uhakika sana, na siwezi kukubishia sababu sijui umetumia sample gani kusema hivyo? Ila sidhani waluguru wanaingia hata kwenye top ten ya uchawiKama wamebadilika labda mengine lakini uchawi
bado,ukiishi karibu nao jiandae au uwe mtu wa maombi au mshirikina.