Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,216
- 12,603
Mkuu tiririka tupate chakula ya ubongoBila kupepesa macho wala kuremba mwandiko hoja yako imejaa mashiko matupu mkuu.Nina ushahidi usio na shaka mbele ya jamii.
Mkuu tiririka tupate chakula ya ubongoBila kupepesa macho wala kuremba mwandiko hoja yako imejaa mashiko matupu mkuu.Nina ushahidi usio na shaka mbele ya jamii.
Narudia tena.Wana injini njema,nzuri na zenye kunogesha hadi kisogoni.Yaani,yaani yaani nashindwa kuelezea mkuu.Its just like a whiff of money!Haichuji kusikia harufu nzuri ya pesa mpya.Ni hayo tu kwa sasa.Phew!Mkuu tiririka tupate chakula ya ubongo
Bila kupepesa macho wala kuremba mwandiko hoja yako imejaa mashiko matupu mkuu.Nina ushahidi usio na shaka mbele ya jamii.
Narudia tena.Wana injini njema,nzuri na zenye kunogesha hadi kisogoni.Yaani,yaani yaani nashindwa kuelezea mkuu.Its just like a whiff of money!Haichuji kusikia harufu nzuri ya pesa mpya.Ni hayo tu kwa sasa.Phew!
Nakumbuka katika moja ya vipindi vya kambi popote kutoka kwa Antonio Nugaz, katika mahojiano na baadhi yao, wao wenyewe walikua wanakiri kwamba wana ubinafsi. Hata ndugu kuinuana ni ngumu kwa maana aliyejuu anaogopa asije kupitwa, anataka ndugu wamlilie shida, wamuombe, wambembeleze, hiyo ndo fahari ya aliye juu kwao.nimeishi pia na waliguru ht ukimkuta Profesa mluguru jua kbs 100%anaroho mbaya...mie simo shost
wewe sema kweli??hahhaa aisee kumbe wanajijua😂😂mue hawa watu wamenifanyiaga roho mbaya sana kweñye masuala ya biashara jaman..had unarudi nyuma unajiuliza nimemkosea huyu nn??alafu asbh akikuona anakuomba walau hela ya supu..nyuma anakuumiza mno mno..!dahNakumbuka katika moja ya vipindi vya kambi popote kutoka kwa Antonio Nugaz, katika mahojiano na baadhi yao, wao wenyewe walikua wanakiri kwamba wana ubinafsi. Hata ndugu kuinuana ni ngumu kwa maana aliyejuu anaogopa asije kupitwa, anataka ndugu wamlilie shida, wamuombe, wambembeleze, hiyo ndo fahari ya aliye juu kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ukiipata hiyo clip ya kambi popote utasikia mwenyewe, ila wanadai "siku hizi wanabadilika".wewe sema kweli??hahhaa aisee kumbe wanajijuamue hawa watu wamenifanyiaga roho mbaya sana kweñye masuala ya biashara jaman..had unarudi nyuma unajiuliza nimemkosea huyu nn??alafu asbh akikuona anakuomba walau hela ya supu..nyuma anakuumiza mno mno..!dah
Mtu kakurupuka kaleta uzi humu, japo ni wa muda kidogo, anaponda kabila hili adhimu kabisa hapa Tz, et ooh wabish, mara wafupi.
Unawajua kwanza waluguru kama hili ndo kabila pekee Tz lililotoa wagombea wawili wa vyama viwili tofauti wakashindana na Nyerere kugombea urais, kipindi wakoloni wanataka kutoa uhuru
Na inadaiwa hao waluguru wawili yaani Mtemvu na Kunambi walimchemsha saana mwalimu, alikuwa anakosa hadi usingizi akiwafikiria waluguru wale
Hadi ndo chanzo mwalimu kuwa mbunge morogoro ili kuwa-counter check wapinzani wake wale.
Kwa hyo dharau muache, waluguru kitambo waliamka, kipindi ambacho hata akina nshomile, bado wanatafta ma-phd,
Na mpaka leo waluguru wako vizur, hata ukiangalia kwenye kada ya mpira wa miguu, wao ndo kama kiwanda cha wachezaji nchini
#Hebu_acha_dharau_wewee
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo point ya uvivu hiyo naiwekea mkazo kbs,Hawapendi kujishuhulisha wanapenda mtelezo tu,hawapendi kusoma ,kuchezwa ndio kitu wanapenda sn kwa jinsia ya kikeNimecheka sana . Kwanza hao waluguru uliowatolea mfano kumbe walishindwa kwa Nyerere eti unajisifia kuwa walimsumbua.
Pili mfano wa sasa unaoutoa eti tuangalie wachezaji wa mpira,wachezaji haohao walioishia simba na yanga.
Nimekulia maisha yangu yote ya utoto na ujana Morogoro , nawafahamu vizuri nyie watu. Ni wafupi, wabishi washirikina bila kusahau wavivu
Sent using Jamii Forums mobile app
bila kusahau pepetaHahahaha watani zangu waluguru mkuje pande hizi Manengelo ana leta utani wa ngumi huku, Binafsi najiuliza ni yale magimbi wanayo kula toka wakiwa watoto yanapelekea kuwa wafupi 🤣🤣🤣🤣
Kweli ukiipata hiyo clip ya kambi popote utasikia mwenyewe, ila wanadai "siku hizi wanabadilika".
Fungua YouTube: Kambi Popote Mila na Desturi ya Watu wa Morogoro Part2.
bila kusahau pepeta
Katka makabila ambayo hayana maendeleo ni warugulu. ... hili kabila la hvyo sana washirikina mno wabishi balaa...Mtu kakurupuka kaleta uzi humu, japo ni wa muda kidogo, anaponda kabila hili adhimu kabisa hapa Tz, et ooh wabish, mara wafupi.
Unawajua kwanza waluguru kama hili ndo kabila pekee Tz lililotoa wagombea wawili wa vyama viwili tofauti wakashindana na Nyerere kugombea urais, kipindi wakoloni wanataka kutoa uhuru
Na inadaiwa hao waluguru wawili yaani Mtemvu na Kunambi walimchemsha saana mwalimu, alikuwa anakosa hadi usingizi akiwafikiria waluguru wale
Hadi ndo chanzo mwalimu kuwa mbunge morogoro ili kuwa-counter check wapinzani wake wale.
Kwa hyo dharau muache, waluguru kitambo waliamka, kipindi ambacho hata akina nshomile, bado wanatafta ma-phd,
Na mpaka leo waluguru wako vizur, hata ukiangalia kwenye kada ya mpira wa miguu, wao ndo kama kiwanda cha wachezaji nchini
#Hebu_acha_dharau_wewee
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 pole mkuujaman pepeta zilinishinda..dah
Katka makabila ambayo hayana maendeleo ni warugulu. ... hili kabila la hvyo sana washirikina mno wabishi balaa...
Ukitaka kuamini katikati ya mji wa morogoro mitaa kama mlapakolo mtoni street kote kuna nyumba za miti na zmeoza. ..ndani ya nyumba hzo unakuta bibi babu ,mama wajukuu watoto wao wote wanaishi humo humo na wazalishwa humohumo utakuta bint ana miaka 19 Lakn ana watoto watatu wanaishi nyumba hyo hyo ya ukoo. ....
Yaani ukitaka kuwa masikin oa mluguru ukoo wa mjomba babu shangazi binamu wote watahamia kwako kazi yao ni kushinda kwenye vigodoro usiku na mchana
Pole sana zilivyo tamujaman pepeta zilinishinda..dah
😂😂Pole sana zilivyo tamu