100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,167
😂😂mie mrefu ww😂
Madame za saa hizi.
😂😂mie mrefu ww😂
Madame za saa hizi.
marahaba shem hujambo😊
😊😊bas nakitoa..
hajambo@Baby Doll
Hajambo, sema yuko tight kidogo hizi siku mbili hivi.
Umefurahi?
kametaitiwa na nan tena😎kuwa makini..na kalivyobarikiwa u bebi doll😊
nimeridhika
I wish!
Ntakutafuta private.
Naomba nisiendelee.
Vyuoni,au mashuleni unaweza kuwa na tabia zoote unazozitakaWachangiaji wengi walioponda Walugulu wana roho za husda"evil eyes"...huwezi sema kabila la mtu kama wewe huna matatizo,ni kabila gani hapa TZ wanaweza jinasibu kuwa 100% wako smart...kifupi nimezunguka hii Tz more than 90% ,kila kabila lina watu wema na wenye tabia za ajabu...kwa hiyo tuishi kwa kuheshimu watu wengine,kuponda kabila ambalo sio lako na kujiona kabila lako ni smart huo ni ugonjwa wa akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba wa Taifa aliwahi kusema kazi ya makabila ni kutambika tu.Waganda na Wakenya walikua ni rahisi kutambulika sbb ya ukabila,lkn sisi Watz ilikua ngumu kutambulika sbb hatukua na Ukabila....mtu anayefikiri kua Kabila lake ni bora kuliko jingine hilo ni tatizo...ukabila na udini ni sumu kubwa katika Taifa na una athari kubwa mno ukiruhusiwa.Vyuoni,au mashuleni unaweza kuwa na tabia zoote unazozitaka
lakini ukiamua kuwa mwizi,jiandae au kuacha shule
au kuchukiwa na wenzio kiasi hata cha kutaka kukuuua.
Hivyo hivyo uswazi, ukiamua kuwa mchawi au mwizi
usitegemee kupendwa.Labda yule asiyekugundua.
Uchawi ninaoongelea ni ule wa kutaka kuwadhuru wenzio
na hili kabila kata kubali halichomoki hata ukilisafisha kwa HOMO.
Huu ujumbe ni mahususi kwa makabila yanayojihusisha na uharibifuBaba wa Taifa aliwahi kusema kazi ya makabila ni kutambika tu.Waganda na Wakenya walikua ni rahisi kutambulika sbb ya ukabila,lkn sisi Watz ilikua ngumu kutambulika sbb hatukua na Ukabila....mtu anayefikiri kua Kabila lake ni bora kuliko jingine hilo ni tatizo...ukabila na udini ni sumu kubwa katika Taifa na una athari kubwa mno ukiruhusiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi lisema kabila zima huo ni ugonjwa wa akili,na kama una tabia za kujumuisha watu wote kwa kosa la watu wachache basi una matatizo makubwa sana...sizani kama ukoo wako wote mko smart kiasi cha kusema wengine.Huu ujumbe ni mahususi kwa makabila yanayojihusisha na uharibifu
badala ya tabia zinazojenga umoja na mshikamano.
hata wewe mahali unapoishi,ukiona unanyooshewa kidole
kabla hujawalaumu hao watu jichunguze kwanza.
uchawi na wizi ni matendo yasiyoishia ndani ya familia
bali yanawadhuru hata majirani hivyo hayavumiliki.
Tatizo linaanzia hapa,huitaji kwenda shulesizani
Hicho ni kitu kidogo sana ktk mjumuisho wa mambo mengi,spelling mistakes haziondoi maana ya ujumbe.Tatizo linaanzia hapa,huitaji kwenda shule
kujua aliyeibiwa ufahamu.na hii ndo kazi mbaya ya jirani yako.
Santee,Hajambo, sema yuko tight kidogo hizi siku mbili hivi.
Umefurahi?




Dada nimetaitiwa na Kazi.kametaitiwa na nan tenakuwa makini..na kalivyobarikiwa u bebi doll
nimeridhika

