Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Kazi yao ni kucheza vigodoro tu na ushirikina watoto wa kike wanapendaa kuzalishwa hvyo Kila mtoto na baba yake...Nimecheka sana . Kwanza hao waluguru uliowatolea mfano kumbe walishindwa kwa Nyerere eti unajisifia kuwa walimsumbua.
Pili mfano wa sasa unaoutoa eti tuangalie wachezaji wa mpira,wachezaji haohao walioishia simba na yanga.
Nimekulia maisha yangu yote ya utoto na ujana Morogoro , nawafahamu vizuri nyie watu. Ni wafupi, wabishi washirikina bila kusahau wavivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kuzalishwa ovyo Lakn bado familia zao wanafurahia kitendo hicho mpaka wanawawekea sherehe wanazoziita kinemwa
