Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,349
- 8,081
Hata mapenzi ya kweli pia? Siamini
!
!
Ni kosa la kiufundi kusubstitute mapenzi ya kweli na mapenzi ya tamthilia za kifilipino
Hata mapenzi ya kweli pia? Siamini
Hata mapenzi ya kweli pia? Siamini
Hamna kitu kama hicho. Kila kitu kikiwa kipya kina mvuto wake lakini baadaye mazoea takes its place. Ndio maana hata sex za mwanzoni mwa relationship zinakuwa very hot lakini as nature takes its toll hottness inapungua gradually.