Huwa wanawaona kama malaika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huwa wanawaona kama malaika!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by vukani, Mar 24, 2010.

 1. vukani

  vukani JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wanaume wote ambao huenda baa kunywa na kulewa wana sifa moja kubwa ambayo kila mmoja kati yao anadhani ni yeye peke yake aliye nayo.

  Wote kati yao huwa wanawaona wahudumu wa baa kama vinyago kwa ubaya wakati wanapoingia, lakini muda mfupi kabla ya kutoka huwa wanawaona wahudumu hao kama malaika kwa uzuri.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hahaa sana tu, wengi huponea huko
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  I dont think so.
   
 4. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mbona wapo mabarmaid warembo sana tu jamani!au mnawaona wote ni vinyago sbb ya kazi zao?
   
 5. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  dada vukani mtu mzuri ni mzuri tu, utamwona na utamjua iwe ni wakati wa kuingia wala wa kutoka................ kweli maeneo hayo uliyozungumzia kuna viumbe wameumbika..............
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  Mi nawaona kama makonda..
  Ambao wanakupokea vizuri ukiingiz, na ukilala juu ya meza wanakusachi hadi kikadi cha kupigia kura.
   
 7. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Vukani, si pombe kuna ma baa medi wameumbika kisawasawa, mwanaume mkamilifu lazima uhamie kunywea kwenye ile baa na si bia tu unaweza kukuta njemba linakunywa maji au soda tucheki mzigo - tofauti yao hawana elimu tu na uelewa wao ni mdogo - sasa ukiongea nao unaenjoy 'cause they do know so many things to urgue. nyie mliosoma mnasumbua sumbua sana - hawa wanajua ku-care and they know how to treat a man.

  Message kwa wanawake mlioolewa- please do your duty otherwise ni kwishinei - jamaa akienda akirudi matairi yote hayana upepo.

  Vukani nitafute nikupeleke nikuonyeshe baadhi tu uhakikishe mwenyewe!
   
 8. vukani

  vukani JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nitakutafuta, kaka, shaka ondoa, kwani nadhani nitakuwa na wakati muafaka kufanya dodoso juu ya mazingira ya kazi yao.
  Huwa napenda sana udadisi......
   
Loading...