Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 556
Na kishangingi
SUPER WOMANππHao wengine wanaoenda mbali hao ndo Wamesema kweli!
Na huyo Mwanamke wako akiwa na Marafiki wa kukuita shem darling ujue na yeye anawaitaga huko shem darling.
Kwahiyo hapo mzee umewekwa mtu kati, mi nimuone mtu anamwita bwana wangu shem darling atajua hajui
Shemela?Hata kuitwa shemegi sijawahi.....
Hilo neno la kawaida tu kuwa na amani mkuuHeshima kwenu wadau MMU
Kuna huu usemi ambao huwa wanapenda sana kuutumia watoto wa kike pindi unapokua shemeji yao hasa ukiwa unatoka kimahusiano na rafiki yao wa kike.
Usemi huu ni wakawaida ingawa kila mmoja wetu huenda akawa anautafsiri kwa namna anavyoona inafaa, wengine husema kwamba usemi huu haina tofauti tu na kuitwa shemeji ila wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kwamba ukiona shemeji yako anakuita shem darling ujue ana vijielement vya kukupenda hivyo hata ukimtongoza hakatai.
Binafsi huwa najiuliza kwanini watoto wa kike wameongeza neno darling mbele ya shem hatimaye likapatikana neno shem darling
Je, wewe mdau ushawahi kuitwa hivyo na shemeji yako na je huwa unatafsiri vipi pindi anapokuita hivyo?
Karibuni tuweze ku share mawazo yetu.
πππKi jina kimekaa kupigwa pigwa yani.....
Kifupi we ni shemeji wa faida, bills bills unalipa, unatuma ya lunch bila kusahau ya kutolea.
Siku izi kuna na Sweet Cousin sijui nini wanatafuta yani kama sio lawama tu mbeleni..Heshima kwenu wadau MMU
Kuna huu usemi ambao huwa wanapenda sana kuutumia watoto wa kike pindi unapokua shemeji yao hasa ukiwa unatoka kimahusiano na rafiki yao wa kike.
Usemi huu ni wakawaida ingawa kila mmoja wetu huenda akawa anautafsiri kwa namna anavyoona inafaa, wengine husema kwamba usemi huu haina tofauti tu na kuitwa shemeji ila wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kwamba ukiona shemeji yako anakuita shem darling ujue ana vijielement vya kukupenda hivyo hata ukimtongoza hakatai.
Binafsi huwa najiuliza kwanini watoto wa kike wameongeza neno darling mbele ya shem hatimaye likapatikana neno shem darling
Je, wewe mdau ushawahi kuitwa hivyo na shemeji yako na je huwa unatafsiri vipi pindi anapokuita hivyo?
Karibuni tuweze ku share mawazo yetu.
πππSiku izi kuna na Sweet Cousin sijui nini wanatafuta yani kama sio lawama tu mbeleni..
Ki jina kimekaa kupigwa pigwa yani.....
Kifupi we ni shemeji wa faida, bills bills unalipa, unatuma ya lunch bila kusahau ya kutolea.
Pole shem darling....Na hii ndio tafsiri yake, nilishawai mfanyia suprise shem wangu(kwa ex gal wangu) siku ya bday yake baada ya hapo zikaanza shem darling, shem mchumba, shem mchepuko yani ananiambia tukikutana atanipea chochote kile kisa suprise niliyomfanyia. Niliachika kisa yeye ila ni mzuriiiiiii