Huwa unafurahia nini uwapo safarini hasa safari za ardhini?

Safari nzuri za bus km umepanda luxury bus, jichanganye upande Saibaba la Sumbawanga-Dar lazima uingie na kunguni nyumbani, likifika uyole km mpo mnadani mmepanda pick up la trip shamba, trip sokoni linakaa hata dk 20 watu wananunua viazi na ndizi

Huo mwendo sasa abiria anaweza akashuka ajisaidie uku gari linaendelea kutembea na akalikimbilia akalikuta akapanda, afu kuna wale wamasai wanaowapakia chimala eeeee hao ndo balaa sasa kapiga lubega huku zaga unazi zoom bila lenzi, anajamba kwa raha zake haoni shida! Jichanganye eti usingizi umekupitia umemuegemea wee!! Atakwambia “mama yeyoo toa iyo bichwa yako km ya mbusi, kwann usiegemese ngomosi kwa baba yeyoo”

Ukiangalia pembeni kuna mwamba kasimama anapumzika siti zinamuumiza zilivyoisha, ndani gari linatikisika km compass lile lenye Penseli na bikari na peni iliovujia wino
 
Na majinjah 😁😁
 
Hio aya ya pili

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Kulikuwa hakuna namna mkuu, kwanza huruma ya hali ya dereva, pili Mimi ndio wa kwanza kufika pale na kwenye gari niko na binti mdogo wangu so kazi yote ya uokozi ni juu yangu. Kwenye mbao ilibidi na wale waliofika pale na gari zao plus utingo maana hakuumia hata kidogo tushirikiane kuzisogeza ili gari ziendelee na safari
hutasahau

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Ila kitonga afadhali kwa upande wa mawe kudondoka kwasababu ya miti mingi, ila ile ya Nyang'olo miti yake so mingi na ni michache so it's very dangerous to drive on that way during the wind season kama sasa. Inahitaji umakini wa hali ya juu sana na udereva wa kujihami wa hali ya juu kilomita zote zile 27.
Sijawah jua kama ni 27km pale m napitaga tu

Back
Top Bottom