Huwa unafurahia nini uwapo safarini hasa safari za ardhini?

Binafsi mimi ni mraibu wa safari hasa za nchi kavu (ardhini) nikipendelea zaidi usafiri wa mabasi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.

Kinachonivutia zaidi safarini ni mandhari yanayopatikana njiani mfano milima, tambarare, mabonde na vinginevyo (nature in general)

Hii imenifanya nikipata muda japo kidogo tu nisafiri kwenda mahali flani kuona mazingira ya sehemu husika hasa sehemu ambazo ni ngeni kwangu ama mpya kwangu.

Wewe unafurahia nini uwapo safarini


Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Napenda views za vijiji after vijiji ila napenda zaidi usiku watu wakilala vile wanavyojamba na wengine wakijiachia as if wanafanya mapenzi na wapenzi wao kitandani wakiamka wanakuta njemba nimeingiza kidole nami nikijifanya nimelala. Naamka najifanya sijuwi nini kinaendelea, tunachuniana tu.
 
Safari inanoga usiku...vyema uanze jioni raha ni pale unapouacha mji na kuanza kupiga pori.....vipepeo,panzi,.....hali tulivu ya hewa kumepoa....harufu ya fegi au mkaa tanuruni......vimiji vidogo vidogo kando ya barabara....nyama choma...na ukarimu wa vibinti..😋😋😋safarini.....pia kuoga,kuosha gari na kufua mtoni....
 
Unakuta nakula Reggae kwenye earphones zangu huku nawaza nikifika napoenda nianze kula vitu vya Jamaica.
Kama nakuona vile ukitokwa na udenda kukaa muda wote ndani ya basi bila kula vile vitu roho inapenda. Swali la uzushi, mnapopewa ruksa ya kuchimba dawa huliwashi dude japo kwa dakika kadhaa akili itulie ukirudi ndani ya basi?
 
Mandhari ya majini nayo ni daima sana.. Mungu aliumba aseeView attachment 2733082
20230829_101941.jpg
View attachment 2733081
 
Kusafiri na treni ni raha....Dar to mbeya au Zambia ni utalii tosha,ila upate first au second class....
 
Safari za Barabara nzuri sana lakini kwa usiku (0230hrs) nilikutana na jitu linavuka barabara bahati nzuri sikuwa na spidi kubwa nkamkwepa sikuangusha gari, usiku noma maana kuangalia pembeni na nyuma simuoni
 
Back
Top Bottom