Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

Umewahi ijaribu Uncharted: Lost Legacy? Ni game nzuri ya mission kama NFS.

Umewahi jiwekea objectives za kuzifikia na hua unafanya kuevaluate?
Niliyonayo mi ni ya muda mrefu hadi inasumbua kufunguka sometimes...
 
Eeh bana.

Au we unafanyaje ukiwa stressed? Joanah ana stress ambazo uwa hazieleweki zinabase eneo lipi. Yan unajikuta tu little angry, little happi, little disappointed, frustrated and the like. Simply you become tired of everything.

Uwa unatoka aje hapo?
Hiyo hali hua inanitokea sometime, ikinitokea hua namcheki kijana atanipa story za kuchekesha basi najikuta narudi kwenye mood😃
 
Kiasi
Kuna vireport vichache vilikuwa vinanipa stress mwisho mwisho mwa mwezi huu lakini napambana kukamilisha
Ongeza mda wa kupumzika akili ikae sawa
Kupumzika muhim pia usitumie simu mda mwingi au kuwepo kwenye screen mfano kama kompyuta navyo hujachangia hali kama hiyo
 
Mimi ikinitokea suluhisho huwa ni moja tu.

Kuongea na washkaji ambao najua they have nothing to demand on me. Yaani hawakuambii chochote kuhusu kulewa wala maendeleo, ni kucheka na kufurahi tu kuhusu kipindi cha nyuma.

Talking with my little kids, hawana chochote cha kukuomba bali kufurahia tu. Napata amani sana ya moyo.

Joanah, get a baby. Hata ukiitwa single mama, it is better for your healthy soul. Mtoto ni dawa haswa kipindi chako cha ujana na utafutaji.
📌📌
 
Back
Top Bottom