Huwa nawaza tu

ha ha ha...nimejikuta nacheka sana..
mkuu umewaza sana.
umesema Eli79 ni dereva wa bodaboda?
 
Last edited by a moderator:
jamani nimekumissije wewe ulikuwa umekwenda kugombea uenyekiti wa serikali za mitaa nini? je umeshinda huko
Atuulize sisi tunaoufahamu ubichi wako..
U mdada mbichi kweli!! 😱 don't tell my wife...
 
jamani nimekumissije wewe ulikuwa umekwenda kugombea uenyekiti wa serikali za mitaa nini? je umeshinda huko

ha ha ha...
nilikuwa napiga kampeni tu!!
wote kwetu wameshinda..
ushawasiliana na Tized recently?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…