I hate to admit... simjui
dont worry utamjua tu ngoja nimwanzishie lisred la kumdondokea
Hawezi kuongeza wakati nimeshamdondokea!
Yaani kama ulikuwa kichwani kwangu, nimekuja spidi breki nimepiga miguu yote miwili kama Tommy & Jerry kumbe ni mambo ya kawaida bhana.Nawewe pia umenistua ulivyosema unakuja kwa kasi, mi nikafikiri ni yale mambo yetu ya baby i'm coming yanakuja kwa faster zaidi kabla ya safari haijakolea.
Nimesha mdondokea sema lingine!
hahahaaaa!!! angalia... kuna mawe ndani sniper...
Nimeshakagua hamna mawe
akikuzingua? hio bunduki si itaua mtu sniper?
tatizo ni iko ulichoshika kwa avatar yako aisee
Ndo ajiandae! akileta fujo.
aisee, mimi iko tishika sana na hiyo shabaha uliyonayo!
mwanamke uko serious kama unamsaka osama!! khaaa!!
hahahahahahah usikate tamaaa subira yavuta kheri
ipo siku utadondokewa na wewe