Huwa nakuja kwa kasi

Huwa nakuja kwa kasi

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Siku hizi humu MMU kumekuwa na thread nyingi za wadada kusema yao ya moyoni kwamba MOYO UMEMDONDOKEA MKAKA FULANI WA MMU!

Basi nikiona topic kama hii,
Kuna mkaka kanivutia humu MMU


Huwa nakuja kwa kasi nikijua zamu yangu imefika.

LOL! nikifika humu nakuta kapendwa mtu mwingine kabisa. Naishia tu kusoma comments za watu!
 
hahahahahahah usikate tamaaa subira yavuta kheri
ipo siku utadondokewa na wewe
 
Siku hizi humu MMU kumekuwa na thread nyingi za wadada kusema yao ya moyoni kwamba MOYO UMEMDONDOKEA MKAKA FULANI WA MMU!

Basi nikiona topic kama hii,
Kuna mkaka kanivutia humu MMU


Huwa nakuja kwa kasi nikijua zamu yangu imefika.

LOL! nikifika humu nakuta kapendwa mtu mwingine kabisa. Naishia tu kusoma comments za watu!

Nawewe pia umenistua ulivyosema unakuja kwa kasi, mi nikafikiri ni yale mambo yetu ya baby i'm coming yanakuja kwa faster zaidi kabla ya safari haijakolea.
 
Siku hizi humu MMU kumekuwa na thread nyingi za wadada kusema yao ya moyoni kwamba MOYO UMEMDONDOKEA MKAKA FULANI WA MMU!

Basi nikiona topic kama hii,
Kuna mkaka kanivutia humu MMU


Huwa nakuja kwa kasi nikijua zamu yangu imefika.

LOL! nikifika humu nakuta kapendwa mtu mwingine kabisa. Naishia tu kusoma comments za watu!

Nimekudondokea God knows
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom