Ispokua minyororo yao na umaskini wa kutupwaWengine wanakuwa hawana cha kupoteza
Ispokua minyororo yao na umaskini wa kutupwaWengine wanakuwa hawana cha kupoteza
au mkuu atakua ndo @Gugudume au Zero IQHukumbuki aliwahi kusema
Natena mkaandike kwenye maforums yenu
Kwa kauli hii nikabaini nimtumiaji mzuri Sana wa Jf
Unamsema nani? Lipumba au Mrema su Cheyo?Hukumbuki aliwahi kusema
Natena mkaandike kwenye maforums yenu
Kwa kauli hii nikabaini nimtumiaji mzuri Sana wa Jf
Kama analala na mijifaili kitandani sembuse kulala humu jf.kifupi ni kua kutwa kucha anachungulia jfWakati anampa UK tausi alisema anajua kuwa wataandika sana. Kumbe anafuatilia yxnayoandikwa mitandanaoni ikiwemo JF
Me nadhani alimaanisha kwamba wataandika kwenye magazeti,na sio jamiiforumsKama analala na mijifaili kitandani sembuse kulala humu jf.kifupi ni kua kutwa kucha anachungulia jf
Alivyo sema namkaandike kwenye Maforums alikuwa anamaanisha magazeti!Me nadhani alimaanisha kwamba wataandika kwenye magazeti,na sio jamiiforums
JpjmUnamsema nani? Lipumba au Mrema su Cheyo?
Kule hawana huruma aisee, yule daktari kakwazika na February basi anapigwa za uso mpk hurumanimegundua twitter ndio kuna majamaa yanajiamini kuliko hata jf.
wanawatoa povu hadi mawaziri.
Humu tumebaki wastaarabu tu, Kule jamaa wanamchana hadi mkuu kwenye ID yake.
JF sijui inaogopwa kwa lipi. Watuache na mtandao wetu huu unatupa raha
ujue hakuna raha kama kumtania mtu aliye serious kupitiliza..ata kama kuna vitu anapatia watu wataendelea kutania tuMagufuli Kuna vitu anafanya vizuri sana huwa nashangaa anatukanwa tu humu
nimegundua twitter ndio kuna majamaa yanajiamini kuliko hata jf.
wanawatoa povu hadi mawaziri.
Humu tumebaki wastaarabu tu, Kule jamaa wanamchana hadi mkuu kwenye ID yake.
JF sijui inaogopwa kwa lipi. Watuache na mtandao wetu huu unatupa raha
Duh! Ni Uhutu au Uhuru?Anamsema JPM kampa UK(Uhutu Kenyatta) tausi
hahahahaKule hawana huruma aisee, yule daktari kakwazika na February basi anapigwa za uso mpk huruma
nimegundua twitter ndio kuna majamaa yanajiamini kuliko hata jf.
wanawatoa povu hadi mawaziri.
Humu tumebaki wastaarabu tu, Kule jamaa wanamchana hadi mkuu kwenye ID yake.
JF sijui inaogopwa kwa lipi. Watuache na mtandao wetu huu unatupa raha
Sio ktk Taifa,hawana mchango hata kwenye Kijiji chao tu.Mm huwa nawashangaa watu wengi walio nje ya nchi kuponda kila kitu kama hamna mazuri yanayofanyika wakat wengi wao hawana mchango wowote wa maana ktk taifa