Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,612
- 17,647
Si ajabu ni yule jamaa mwenye kiwanda cha kuchakata chips
Timu yangu ni ipi? Ujue pacha unapenda sana kunituhumu kwa vitu visivyokuwa vya kweli?Aisee naona nimewagusa team yenu
Unamaanisha pacha wangu RRONDO anatafuta ukuu wa wilaya [emoji125][emoji125]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23]Niwe mkweli..nikiona mtu anaisifia hii serikali nahis kbs anadamu ya kichawi sijjui..argggh
According to the latest World Bank brief, during the period, Kenya topped the region as the biggest beneficiary of remittances, receiving $10.74 billion, followed by Uganda ($6.28 billion), South Sudan ($2.85 billion), Tanzania ($2.39 billion), Rwanda ($1.13 billion) and Burundi ($257 million).
Umesahau...pia hana akili au sio?😂😂😂Niwe mkweli..nikiona mtu anaisifia hii serikali nahis kbs anadamu ya kichawi sijjui..argggh
NATOTimu yangu ni ipi? Ujue pacha unapenda sana kunituhumu kwa vitu visivyokuwa vya kweli?
Kirefu chake?NATO
Northern Atlantic Treaty OrganisationKirefu chake?
Aisee hayaNorthern Atlantic Treaty Organisation
CC johnthebaptist & FaruJohnWakati anampa UK tausi alisema anajua kuwa wataandika sana. Kumbe anafuatilia yxnayoandikwa mitandanaoni ikiwemo JF
Hahahaa....!
Magufuli Kuna vitu anafanya vizuri sana huwa nashangaa anatukanwa tu humuApparently usipomponda huyu bwana wewe huna akili. Hizi ni juhudi za kuonekana akili zipo
Uongo?Kwamba asiefuata mkumbo wenu ni CCM? Heri yako
Nawewe nawe UKUK nchi au nani?