Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,389
- 169,460
Wakati anampa UK tausi alisema anajua kuwa wataandika sana. Kumbe anafuatilia yxnayoandikwa mitandanaoni ikiwemo JF
nimegundua twitter ndio kuna majamaa yanajiamini kuliko hata jf.
wanawatoa povu hadi mawaziri.
Humu tumebaki wastaarabu tu, Kule jamaa wanamchana hadi mkuu kwenye ID yake.
JF sijui inaogopwa kwa lipi. Watuache na mtandao wetu huu unatupa raha
Asiepingapinga kama nyinyi ni msaka vyeo. Heri yenu wenye akili na mko perfect.Naona uzi umevamiawa na wasaka vyeo..hehehhe💃💃💃💃...
Wakati anampa UK tausi alisema anajua kuwa wataandika sana. Kumbe anafuatilia yxnayoandikwa mitandanaoni ikiwemo JF
Kushangaana kimitizamo ni jambo la kawaida...Mm huwa nawashangaa watu wengi walio nje ya nchi kuponda kila kitu kama hamna mazuri yanayofanyika wakat wengi wao hawana mchango wowote wa maana ktk taifa
Asiepingapinga kama nyinyi ni msaka vyeo. Heri yenu wenye akili na mko perfect.
hahaha mkuu mimi sina impact yoyote humu wala watawala angalau kidogo kwa kitongoji huwa nasaidia ulinzi shirikishi.We matunduizi mbona wewe usiwe mfano tukufuate
Kwamba asiefuata mkumbo wenu ni CCM? Heri yako😅😅😅..umeandika ukionekana umekata tamaa sana..hhahaha...maccm mmeanza kupoteana sana...sijui y..
Mm huwa nawashangaa watu wengi walio nje ya nchi kuponda kila kitu kama hamna mazuri yanayofanyika wakat wengi wao hawana mchango wowote wa maana ktk taifa

kuna jamaa zimepinda balaa,Twitter acha kabisa Mkuu, kule ni kiboko.
Naona uzi umevamiawa na wasaka vyeo..hehehhe💃💃💃💃...