Huunimtego au jini

Huunimtego au jini

wana jukwaa habari za michakato naomba ushauri wenu juzi jumamoc trh 10 ya mwez na mwaka huu muda wa saa8mchana nilibipiwa na new number baada ya kuigia akapokea msichana na nilipo muuliza we nani?akadakia na kuniita john umenisahau?nikamwambia mi si john nikamtajia jina langu lakini ikawa hataki akaniambia anaitwa HUSNA anasoma chuo cha ualimu korogwe G.A anadai kuwa alikutana na huyo john maeneo ya manundu korogwe katka maongezi wakapeana namba za cm lakn yeye alipoteza cm hivyo amepata nyingine na kubadili namba na ile ya john kaisahau akaikumbuka kwa mbali akaona apige ndo ikatokea kwangu lakini cha ajabu anadai mim ndo john kumbe laa nilikata cm lakn ucku akapiga na kuanza kulia akidai mi ndo john kiukweli mi sio john ingawa ni mkazi wa korogwe lakin kwa sasa niko chuo dodoma nimemsihi hataki kawa king'ang'anizi cha ajabu jana kanipigia na kudai kuwa huyo john hana haja nae kamfuta ananipenda mimi Loooh na analia kwa ajili yangu najiuliza huyu niJINI au DEMU WANGU KANITEGEA MTEGO? Jamani hii imekaaje kila nikimpa ukweli hataki analia na anataka aje dodoma anione MUNGU WANGU!eti ananipenda sna na analia kila nikiongea nae hata rafiki zake wananipigia na kudai usiku halali analia kwa kutaka penzi langu cha ajabu hanijui simjui nifanyeje jamani

watch out bro
 
Piga mzigo uooo acha uzembe
 
Inategemea na aina ya handset, ila kama ni samsung au nokia kubwa unamu-add kwenye reject list; automatically simu akipiga anapata busy tone.
Mkuu yangu ni Samsung Galaxy ngoja nijaribu kuna kiumbe ananisumbua.
 
mlete kwangu nimtengeneze fastaaa, my no is 911 aulizie Afande Manyota atanipata :becky:
 
Mkuu yangu ni Samsung Galaxy ngoja nijaribu kuna kiumbe ananisumbua.

Mkuu, unayo simu kali ila umeniangusha kitu kimoja ambacho watu wengi wanacho.

Inakuwaje unaanza kutumia kitu bila kusoma user manual? Unaweza ukadhani kuwa wewe ni mjanja lakini ni muhimu kusoma manual before start operating a device. Its my advise!
 
Back
Top Bottom