Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 760
- 1,417
Signal za kufunga milango ya gari (alarm remote) ni tofauti na zilizondani ya immobiliser system ya funguo na control box. Hivyo it makes sense kwamba wataweza kufungua milango, ila sio kuwasha gari, nakataa.
Wanachofanya ni kwamba ukipeleka gari gereji na ukamwachia fundi funguo, wanaenda kui-tengeneza copy kwa kuchonga nyingine na kucopy ile programming iliyo ndani ya immobiliser ya funguo, ni kama unavyocopy program kwenye flash, so wanakua wanacopy exactly kama funguo ya gari lako na inawasha kama yako.Ila Nadhan unajua kuwa hata funguo za gar zina signals.
Sasa hawa wezi huwa wanahangaika kukaa karibu na ww mwenye funguo na wakishapata hizo signal wanatumia hizo devices kuiba gari bila funguo...
Si na yeye anakuja na betri lakeDawa ya hawa jamaa unatoa betri ukiamka una connect unaendelea na safar zako
Bima comprehensive nayo ni msaada mzuri piaFungeni track. oooohh !!kama wenzenu south Africa ata kama imeibiwa inaonyesha gari ipo wp na ata kama wakitoa betri bado inaonyesha labda waifumanie iyo track sawa lakini bila ivyo...
... Ukitaka gari yako isiibiwe dawa ndio hiyo; chukua gari za aina hiyo maaana hata huyo CR hanunuagi used!Spea zake utaamuuzia nani sasa, Christiano Ronaldo?
Sema wanachelewa kukulipa hao. OooohhhBima comprehensive nayo ni msaada mzuri pia
Kuchongesha funguo ya gar nadhan haiwez kufanywa bila kubadili vitu kwenye control box.Wanachofanya ni kwamba ukipeleka gari gereji na ukamwachia fundi funguo, wanaenda kui-tengeneza copy kwa kuchonga nyingine na kucopy ile programming iliyo ndani ya immobiliser ya funguo...
point. IST na Wish zimejaa bongo utadhani watu wanaokota. Bado kidogo utasikia DUALIS nazo zinapotezwa kiaina.Ila za kizungu ndio ngumu au sio? Sio kwamba soko lake ni limited sana
Kuna video sema nilishaifutaga kitambo vinginevyo ningeiatach hapa; upo wizi wa gari yako inavuliwa kila kitu hapohapo parking kwako wanakuachia chesis tu juu ya mawe mpaka tairi wanabeba.
Wizi huu hutumia dawa za kuwalewesha ili mlale usingizi wapono huko nje wanaume wakiendelea na uchenjuaji wa gari yako
Ikiwezekana unafungua na taili kabisa HahahahaDawa ya hawa jamaa unatoa betri ukiamka una connect unaendelea na safar zako
Kwanini mkuu Harrier zinaogopwa?Wamiliki wa ICT wengi wao wanyonge ndio maana gari za zinapigwa sana...Harrier hawazigusi kabisa wanajua mziki wake ni lazima lipatikane
Wenye magari wenyewe huwa wanachonhesha funguo za akiba incase original umepotea, na haubadilishi kitu so as long as ile exact programming kwenye original key immobiliser imekuwa copiedKuchongesha funguo ya gar nadhan haiwez kufanywa bila kubadili vitu kwenye control box.
So ni ngumu kufanywa kama hivi unavyosema ww.
Naanisha Control box signals na Key signals lazima ziendane, sasa wanawezaje kujua bila contol box?.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mchezo wa Signal jamming unatumiwa sana na wezi Johannesburg na miji mingine SA. Kuna rafiki yangu alilizwa VW polo mpya aliyoinunua huko huko SATechnologia imekua sana.
Niliwah fanya research isiyo rasmi kuhusu hili...
Ikiwezekana unafungua na taili kabisa Hahahaha
Uko mbona watastukia Sasa,Dawa ya hawa jamaa unatoa betri ukiamka una connect unaendelea na safar zako
Uko mbona watastukia Sasa,
Unatoa ignition fuse Kwenye control box, asbuh unairudisha
Mzee wangu alkuaga anafanya ivyo tusiendeshe ovyo gari lake akisafiri.
Hao wezi wa ajabu wanakimbia mbwa si wangemrushia pande LA nyama waendelee na YaoKama una mnyororo mzuri unafunga kwenye mti na kufuri ya maana. Nakumbuka 2017 nilikua kwa uncle sasa fensi ilikua haijakamilika kulikua na vibaka sana kule boko. Uncle akanunua dog alikua anamfunga kwenye gari anapitisha chain kwenye tair sasa mwizi akaja mbwa kalala alikua mdogo sasa ile kuanza mafekeche mbwa si akabweka jamaa walikimbia hovyosi unajua hawakutegemea kama kuna mbwa pale tulisikia vishindo mtu kaanguka waliacha mavifaa yao, hawa jamaa wako vizur wanavifaa vya ajabu sana wamejipanga wnamadawa ya ajab ndo wanapuliza ili ulale vzr