Huu Uvaaji mweh

Huu Uvaaji mweh

14141617_1569219920051560_7293223231116410193_n.jpg
Dunia gonjwa
 
He he labda kama sijui kubaka!


Huyo ni chambo tu...ukimgusa tu unashangaa mijitu ya miraba minne imekukamata na 'kukushungulikia' wewe badala ya wewe 'kumshughulikia' huyo bibi...wakati 'unashughulikiwa' yanachukua pia picha na kuzisambaza kwenye whatsap/facebook...nakwambia baada ya hapo mji unauhama mwenyewe kama siyo kujinyonga....
 
Duh! Hilo vazi unaanzaje kupita mbele za watu jamani?

Mwanangu, unapita kama ulivyoanza kulichagua dukani. Unawezeshwa na nguvu za waliolibuni na kulitengeneza. Kikubwa na kuwa na muunganiko nao wa karibu.
 
Mwanangu, unapita kama ulivyoanza kulichagua dukani. Unawezeshwa na nguvu za waliolibuni na kulitengeneza. Kikubwa na kuwa na muunganiko nao wa karibu.
pesa itatugeuza mashetani siku moja wacha tu Magufuli azichape upya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom