Hii itakuwa kwa wale jamaa wanaandokaga USA Baby...
Zilipatwa na jua labda..Kumkichwa zimetimia?..
Hii ni robotatu uchi...Huyu ndio kavaa nusu uchi
Mambo ya kawaida tuu hayo. Lushoto kwema?Duh! Hilo vazi unaanzaje kupita mbele za watu jamani?
Hii ni robotatu uchi...
Mbona fresh tu, boonge la vazi[emoji12]Huku ni kupatwa kwa fasheni
Mbona fresh tu, boonge la vazi[emoji12]
Yaani hilo tuu ndio umeliona! Lusajo bwana!Tatizo hilo limpododo lake nalo linatisha kidogo
Yaani hilo tuu ndio umeliona! Lusajo bwana!