Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,124
- 173,993
Hapa ndio pale ambapo gari italazimika kufungwa vipuri orijino kutoka kwa mjapani KYOTO au YOKOHAMA 😂😂😂Kwa TBS, ni tofauti lazima gari lifikie viwango, ndio wanatuma certificate TRA, ili mchakato wa kulipa kodi uendelee, kama hlijatimiza vigezo, litatolewa bandarini, na kupelekwa sehemu ukalitengeneze kwanza, ndio walikague tena!!
picha linaanza shockup 4 million na laki 2! Ndio TBS wanazitaka,, unaijua TBS wewe?