Huu utaratibu wa TBS utaumiza sana watu!!

nimetoka juzi pale NIT kuipeleka ist kukagulkwa ili ipite na tbs kwa ajilli ya ukaguzi bwana kama una roho nyepesi unaweza mpga mtu ngumi ,kuna masai amepeleka kapaso kake 4 piston akajiona kanunua chases no katakuwa kazima bwana bwana kwenye kutestiwa kamepigwa speed mpka 160km/hr.dah kigari mpka kikazima chenyewe akaambiwa akiweke pembeni wakati huo masai jicho jekunduuu
Acha uongo pimbi wewe
 
Sitaki kuongelea siasa ila katika hili naomba wafikirie tena, madhumuni ya kukagua gari kule ilikuwa mtu kabla hajalipia gari anajiridhisha kuwa gari ni nzuri ndio anafanya malipo kulinda haki ya mteja, sasa kwa sheria hii ina maana mtu analipa pesa ila hajui hali ya gari mpaka ikifika sasa hapo kuna mawili. Mimi nadhani busara itumike hapa, Hata hapa nikienda kununua gari kwa mtu nitaipeleka kuicheck kwanza kujiridhisha kabla hatujafanya mauzo sasa sheria hii ni kama nunua gari kwanza halafu kafanye checkup ukikutana na majanga itabidi gharama ulipe tena.
 
Nchi ya mapunguani!
Unashindwa kuelewa kuwa kwa sasa hivi kila taasisi inatakiwa kuwa TRA ya kukusanya mapato?Wamefanya hivyo ili kuifanya TBS kuwa chanzo cha mapato.Zawadi ya kuiingiza CCM madarakani na kuichekeachekea ni kuliwa tunda kimasihara!Stay tune,the worst is yet to come!
 
Nia yao ni kukusanya mapato,magari mengi wataonyesha kuwa yana kasoro za hapa na pale na za uongo na kweli ili kukusanya mapato.Zawadi ya kuing'ang'ania CCM ni kuliwa tunda kimasihara.Imagine vinafanyika vitu kama hivi ambavyo havimake sense kabisa,stay tuned the worst is yet to come folk!
 
Sasa hayo matengenezo na ukaguzi vinawahusu nini lakini mbwa hawa?!

Kwanza wamekubaliana na nani kuhusu huo utaratibu usioeleweka?!

Kama system ya kwanza haikuwa na shida kwann wanaibadilisha sasa?! Mbona wamekalia upumbavu hawa watu lakini....?!
That's the trending of this blind regime..who care?
 
Hichi ni kichekesho cha karne.. Swali la msingi ni “ wanakagua kitu gani? “

Kama ni ubovu wa gari itakua hili ni ajabu lingine la dunia maana Tanzania magari mabovu kibao yanatembea barabarani. Unakutana na gari inatoa Moshi kama matanuru ya Hitler ya kuchomea watu.

Hapa Dar kuna yale magari yanabeba taka, kila yanapopita yanamwaga uozo wa taka, unakuta harufu mbaya mtaa mzima na magari yenyewe mabovu kupindukia.. Alafu mtu anajiyutumua kabisa kukagua gari imetoka nje.
 
hawa jamaa wata zidiwa na kazi nahapo ndipo utasikia gari imefika tanzania lakini mpaka kuja kuitoa una hesabu tena miezi miwili au zaidi kisa wanataka kufanya ukaguzi
 
Kukagua magari yaliyopo wameshindwa itakuwa ya kutoka nje
% kubwa ya magari ni used sasa wanakagua ya nini huku wakati mteja karidhika au tuagize mapya wote? Ambapo halitawezekana
Sio kutafuta hela huku sasa
 
Kwa utaratibu wa kupima NIT, wakati unawapelekea gari unakuwa umeshamalizana na TRA. Sitashangaa kama TBS nao ikawa hivyo.
Kwa TBS, ni tofauti lazima gari lifikie viwango, ndio wanatuma certificate TRA, ili mchakato wa kulipa kodi uendelee, kama hlijatimiza vigezo, litatolewa bandarini, na kupelekwa sehemu ukalitengeneze kwanza, ndio walikague tena!!
 
Sitaki kuongelea siasa ila katika hili naomba wafikirie tena, madhumuni ya kukagua gari kule ilikuwa mtu kabla hajalipia gari anajiridhisha kuwa gari ni nzuri ndio anafanya malipo kulinda haki ya mteja, sasa kwa sheria hii ina maana mtu analipa pesa ila hajui hali ya gari mpaka ikifika sasa hapo kuna mawili. Mimi nadhani busara itumike hapa, Hata hapa nikienda kununua gari kwa mtu nitaipeleka kuicheck kwanza kujiridhisha kabla hatujafanya mauzo sasa sheria hii ni kama nunua gari kwanza halafu kafanye checkup ukikutana na majanga itabidi gharama ulipe tena.
Wewe hujaelewa!!hata sasa utaratibu uliopo ni kuwa unanunua gari, kisha kabla ya kulisafirisha kuja nchini, kuna mawakala wa kulikagua ambao wameidhinishwa na TBS, kama litashindwa kutimiza vigezo, litarudishwa kwa muuzaji, na utapewa gari lingine, ndio linatumwa kuingia nchini!!shida ya utaratibu huu mpya ni kuwa , mtu una safirisha gari hadi nchi, unafika huku unaambiwa halijatimiza vigezo!!!lazima ulitengeneze kwa gharama zako, tena sio gereji za mtaani, ni kwenye za serikali!!hapo kifupi limetengenezwa chaka tu la kupatia pesa!!ila kama ni gari ambalo limeshaingia nchini ukilinunua kwa mtu haina haja tena ya TBS, kulikagua.
 
Nimeelewa vizuri tu kuwa hapa ni makusanyo tu yamelengwa lakini hakuna mantiki kabisa. Nafahamu ukinunua gari ndani ya nchi huna haja ya TBS nimetoa mfano tu hata kama nanunua gari kwa mtu kawaida naifanya check ikiwa iko poa tunafanya biashara swali langu ikawa huko nje utanunua tu gari ukitaka kulifanyia inspection kabla hujalipa gharama zako ukitaka lipakiwe tu huku unakuja unapambambana na TBS na garage zao, kazi tunayo kwa kweli hali sio nzuri.
 
Nchi ya mapunguani!
Unashindwa kuelewa kuwa kwa sasa hivi kila taasisi inatakiwa kuwa TRA ya kukusanya mapato?Wamefanya hivyo ili kuifanya TBS kuwa chanzo cha mapato.Zawadi ya kuiingiza CCM madarakani na kuichekeachekea ni kuliwa tunda kimasihara!Stay tune,the worst is yet to come!
Hahaha ni mwendo wa kuongeza RA katika kila taasisi!
Kwa sasa...
TRA
DPP-RA
HESLB-RA
Tunakoelekea...
TBS-RA
 
P-RA
DPP-RA
HESLB-RA

Tunakoelekea...
TBS-RA

Yajayo hayafurahishi😂😂😂
 
Back
Top Bottom