Huu utaratibu wa TBS utaumiza sana watu!!

Kwa TBS, ni tofauti lazima gari lifikie viwango, ndio wanatuma certificate TRA, ili mchakato wa kulipa kodi uendelee, kama hlijatimiza vigezo, litatolewa bandarini, na kupelekwa sehemu ukalitengeneze kwanza, ndio walikague tena!!
Hapa ndio pale ambapo gari italazimika kufungwa vipuri orijino kutoka kwa mjapani KYOTO au YOKOHAMA 😂😂😂
picha linaanza shockup 4 million na laki 2! Ndio TBS wanazitaka,, unaijua TBS wewe?
 
Sasa hayo matengenezo na ukaguzi vinawahusu nini lakini mbwa hawa?!

Kwanza wamekubaliana na nani kuhusu huo utaratibu usioeleweka?!

Kama system ya kwanza haikuwa na shida kwann wanaibadilisha sasa?! Mbona wamekalia upumbavu hawa watu lakini....?!
usiwe mwepesi wa kupanic, tofauti ya utaratibu wa mwanzo na huu wa sasa ni kuwa mwanzo ukaguzi wa magari ulifanyika nje na mawakala na sasa ukaguzi utafanywa hapa hapa nchini.
 
Na sidhani kama kuna mdau yeyote yule kashirikishwa kwenye hili.

Decision makers wa nchi hii wengi wao ni mental case.

Mambo ambayo raia wanayalalamikia miaka yote hawajishughulishi nayo ila hukimbilia ambayo hakuna mwenye shida nayo.

Kuna mtu amelalamikia ukaguzi wa magari nje?
 
usiwe mwepesi wa kupanic, tofauti ya utaratibu wa mwanzo na huu wa sasa ni kuwa mwanzo ukaguzi wa magari ulifanyika nje na mawakala na sasa ukaguzi utafanywa hapa hapa nchini.
hilo kila mtu anafam jaribu kuelewa watu wanachokijadili
 
Kazi zikizidi, magari yakiongezeka ukaguzi hapo ni wiper kama zinafanya kazi, honi, taa, matairi, vioo na starter tu, unalipia $140 unakabidhiwa kagari kako, finish
 
nimetoka juzi pale NIT kuipeleka ist kukagulkwa ili ipite na tbs kwa ajilli ya ukaguzi bwana kama una roho nyepesi unaweza mpga mtu ngumi ,kuna masai amepeleka kapaso kake 4 piston akajiona kanunua chases no katakuwa kazima bwana bwana kwenye kutestiwa kamepigwa speed mpka 160km/hr.dah kigari mpka kikazima chenyewe akaambiwa akiweke pembeni wakati huo masai jicho jekunduuu
Hahahhaha yaan hapa mkuu ndoto zote za kununua gari zimepotea
 
Karibuni kwenye group la what'sapp LA magari 0748 133 122 lengo ni kuzidi kupashana kuelimishana, andika neno niunge nitakuunga
 
Bongo bhana wana utani wanataka haka kapasso kangu kakatestiwe si utani huo ndugu zangu wakimaliza ya kuagiza wataanza yalio ndani lazima yakaguliwe kwa kulipia....
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom