ha ha ha...!!!! washindwe wakuondolee uparoko wako? wakati waumini wapya ndo tunataka tujiunge
eti snowhite ya kweli hayo? au anajikosha tu hapa kwangu kwa vile muumini mpya?
Ndo hapo ushangae na wewe. Labda kuna mmoja anampenda na kumtaka awe wake but hampati. Angetuambia tu upweke unatokana na nini. Au sio best ?
Baba paroko anatoa huduma na yeye anahitaji kuburudika vyema bana
Hao uliowataja wanaijia huduka kutoka kwake
Na yeye je nani anamhudumia ...??
Hao hao wahudumiwaji angalia miongoni mwao ambaue anafaa kutoa huduma umwambie wazi nahitaji service yako ya karibu
Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake bana
ahahahhahahahhaha huyu bana ana angle zako ukizipatia he is all urs!
for the time being Ennie ndo kboko yake!
Inaonekana hivyo ila aseme wazi tuu ni nani kazimikiwa ili baba paroko ahudumiwe bana
Hao hao wahudumiwaji angalia miongoni mwao ambaue anafaa kutoa huduma umwambie wazi nahitaji service yako ya karibu
Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake bana
Ndo hapo ushangae na wewe. Labda kuna mmoja anampenda na kumtaka awe wake but hampati. Angetuambia tu upweke unatokana na nini. Au sio best ?
Hivi nlishawahi kukuambia kuwa nakupenda. Basi ndo hivyo.
Ndo hapo ushangae na wewe. Labda kuna mmoja anampenda na kumtaka awe wake but hampati. Angetuambia tu upweke unatokana na nini. Au sio best ?
Baba paroko anatoa huduma na yeye anahitaji kuburudika vyema bana
Hao uliowataja wanaijia huduka kutoka kwake
Na yeye je nani anamhudumia ...??
Huyu baba paroko anahitaji maombi ya ziada. Sikuhizi upako umepungua sana
miye tena? niko tayari halafu huwa napenda maombi ya muumini mmoja mmoja si huwa unaombea? kama huwa unatoa huduma hiyo ndo vizuri nikija kwenye maombi ndo tutaondoana upweke vizuri mana roho wa Mungu atakuwa katikati yetu
Not interested. Don't waste your time.Hivi nlishawahi kukuambia kuwa nakupenda. Basi ndo hivyo.
Si nilikutahadharisha kuhusiana na huyu mtu?
Mbona unamsikiliza .....???????
ahahahahhahahahhahahhaa
Tuhamie zetu PM sasa ....!!!!!!!!
Yaani hata wale kondoo wangu wanaokuja hapa parokiani kunichangamsha leo siwaoni sijui wako wapi ...!!!!!!!!