pole, kwani bado upweke hujaisha tu? hukutoka tena na Heaven on Earth mana alikuwa anatakiwa apate mazoezi madogo madogo
Bado sijapata dawa ya huu ugonjwa hivyo haujaisha Heaven on Earth alikuwa anaenda kuchomwa sindano hivyo ratiba ziliingiliana ....lol!!!!!!!
Vipi bado uko tayari kuniondoa upweke?
miye tena? niko tayari halafu huwa napenda maombi ya muumini mmoja mmoja si huwa unaombea? kama huwa unatoa huduma hiyo ndo vizuri nikija kwenye maombi ndo tutaondoana upweke vizuri mana roho wa Mungu atakuwa katikati yetu
Aiseeee....!!!!!!!!!
Kumbe unawazaga kiutu uzima namna hii..
Tena nawapendaga sana waumini wa aina yako
Hebu fanya fanya uje fasita .......!!!!!!!
Sasa tuambiane hapa hapa na akina Ennie wasikie .....????
hilo nalo neno tuhamie PM sasa, ila mbona umemuhofia Ennie tu? ndo wife nini? mana humu naona kila mtu ana wake
Huyo ana watu ambao wanajidai eti anataka aniondolee uparoko wangu
Na sio huyo tu kuna mwingine anaitwa snowhite hao ni wavimba macho tu
Bora tuhamie PM ili mimacho iwatoke na wsaione ....!!!!!!
Huhitajiki kuwa na hofu yoyte ile huduma nitakupa bila tatizo lolote lileha ha ha...!!!! washindwe wakuondolee uparoko wako? wakati waumini wapya ndo tunataka tujiunge
eti snowhite ya kweli hayo? au anajikosha tu hapa kwangu kwa vile muumini mpya?
Huhitajiki kuwa na hofu yoyte ile huduma nitakupa bila tatizo lolote lile
Ukitaka kujua uzuri wa huduma yangu muulize Heaven on Earth .....!!!!!!!!
Tena huyo snowhite akiendelea kuniletea zake namuachisha kazi yake ya ualimu wa shule yachekechea ya jimbo ....!!!
Pole baba paroko.
Hivi Karucee baba paroko nae anakuwaga mpweke si ana waumini wa kila siku wanaokuja kwake kutoa matatizo yao
Na ana wale sisters ambao muda wote wapo kumhudumia baba paroko asione upweke
Hivi Karucee baba paroko nae anakuwaga mpweke si ana waumini wa kila siku wanaokuja kwake kutoa matatizo yao
Na ana wale sisters ambao muda wote wapo kumhudumia baba paroko asione upweke
Zote ambazo ni necessary ......!!!!!