mulokozi senior
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 195
- 53
Wenzio tuliisha amka zamani tukatoka huko tulipo baini ni pango la wezi umebaki wewe tu.
Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.
uchu wa madaraka tu, sijui ikulu kuna nini. sana sana ataiba ili alipe fadhila kwa matajiri. Watanzania tuamke, kamwe amaetumia mbinu na nguvu nyingi kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma
tumia tu akili kidogo na wewe ujiulize kama asingehama ccm mngemuita fisadi? au kama angeshinda ccm dodoma angeongea maneno haya.
kwa nini nyingi mnamuattack kwa kumuita fisadi wakati ccm mlinufaika na richmondi?
hivi wewe unajua ule mchezo wa ngumi? na mkicheza na lowasa ana mafaili yenu mengi kweli. ila ninyi mmekalili eti ni fisadi, yeye akiamua kurusha ngumi zinaweza kufika 100000000 kwa sababu anawajua in and out wizi mliofanya tangia 1961
HIVI KWELI DR SLAA SASA HIVI AMEKUWA LULU KWENU? YULE MLIYEMUITA PADRI MZINIFU? AU MWINGINE?
hoja dhaifu kweli !Wakati Lowassa na JK wanachukua jahazi kwa Mkapa sukari bei ya sukari ilikuwa Shs 650.
Je miaka miwili baadaye wakati anajiuzulu uwaziri mkuu, sukari ilikuwa inauzwa kiasi gani? Aliacha ileile 650 ya Mkapa na Sumaye?
Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.
Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.
Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.
Wanafikiri watu tumesahau na ngojera zao hapa mara Dr. Slaa mzinzi hawezi kwenda Ikulu, mara kaiba hela kanisa, mara kajikopesha ruzuku, mara afafhali ya Lipumba kuliko Slaa, sasa kaingia Lowasa wageuka watetezi wa Slaa. Mungu amesikia maombi yao ya kusema Ikulu hawezi kwenda mzinzi, wakae watulie kabisa sisi tunataka mabadiliko, yawe ya fisadi, yawe mroho wa madaraka, vyovyote vile mtakavyomwita Lowasa tumeamua ndiye Rais. ccm tumeichokaaaaaaaaaaa Suala la maendeleo baadae
Tukisema huyu mtu ana tamaa na madaraka tu na wala hana ahadi za wananchi,watu watanuna,lakini huyu mzee ile ngozi ya kondoo aliyo vaa miaka yote,imechakaa tunaona madoa doa ya chui sasa
Come on, mbona ndio kinachofanyika kwenye siasa. What did you expect? Aanze kusifia chama chake cha zamani? That's just politics ndugu, don't take it too personal.Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.
Tulia dawa iwaingie vizuri, ukifurukuta ndiyo intawaumiza zaidiHaya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.
Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.
Huyo anayeondoka anatuachia nini? Think before touching your keyboard.Kulipiza kisasi tu!
Ana ile team,, Wale ni nzige,, watalamba kila kitu nchini tubaki Tanzania kiituko cha vituko,
Hakuna mwadilifu kwenye ile team. Ikiwa El mwenyewe wanampiga itakuwaje wakishika nchi?
walivyo muita makapi aukuona,walivyo muita oil chafu aukusikia,unajua maana ya upinzani ?lowassa amegundua makosa...angepitihswa dodoma sisi watanzania tunge mwambia..
Atarejea.Terejesheeni SLAA wetu. Tunampenda bado na tunamuheshimu.