uchu wa madaraka tu, sijui ikulu kuna nini. sana sana ataiba ili alipe fadhila kwa matajiri. Watanzania tuamke, kamwe amaetumia mbinu na nguvu nyingi kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma
Nitaanza kuiogopa kwanza CCM iliyotuahidi maisha bora kwa kila mtanzania na bado sijaona,Tumia Akili yako hata kama ni ya kipumbavu kujiuliza vitu vimepanda bei kwa kiasi gani,Jiulize tena pale kwako umefunga luku na unanunua Umeme kila siku lakini hapo hapo kila mwezi unatoa elfu saba uwe umetumia umeme au haujatumia lazima ulipe, ukishajiuliza hayo na mengine mengi tulia kimya halafu subiri sanduku La kura ufanye maamuzi,