data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,884
- Thread starter
- #41
Bila kubebwa na wajuzi wa kutoa hoja....kwenye kampeni Lowasa atakua kituko.....jamaa hawezi kabisa kutoa hoja...
Hana la kuongea na anapoongea kuichafua serikali ya CCM anajikuta tope lina bounce back na kumchafua yeye.
Anawanyima hata makamanda uhuru wa kuongea kozi watajikuta wanamchafua Candidate wao wenyewe. Sad.