Huu unafiki wa Lowassa unatisha

Huu unafiki wa Lowassa unatisha

Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?

Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.

sio unafik hata kama angebak ccm kama ana dhamira ya dhat kumkomboa mtz hayo aliyokuwa akiyaongea angeyatatua kimya kimya sasa kwa kuwa nao wanafik bas wamekutana na mkali wao.
 
Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?

Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.
we want ccm dead
 
Mtu yeyote anayesema lowasa ana uchu na madaraka, namuita mpumbav tu, sababu kila mgombea au chama kinataka kushika dola na sio kukaa nje na kupiga kelele. Walotawala miaka hamsini iliyopita na wanaandaa mazingira ya goli la mkono ndo wana uchu na madaraka
 
Kwani nani kakwambia serikali ya ukawa itaendeshwa na mtu mmoja.? Ok! Kwani nyie mmejipangaje?
serikali ya ukawa ndo nini? chadema si ni chama cha mtu mmoja anakiendesha anavyotaka? chadema ikiwa madarakani si nchi itaendeshwa na mtu mmoja? anyway, CCM tumejipanga kushinda kwa kishindo october 25
 
uchu wa madaraka tu, sijui ikulu kuna nini. sana sana ataiba ili alipe fadhila kwa matajiri. Watanzania tuamke, kamwe amaetumia mbinu na nguvu nyingi kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma

wakuogopa ni nyie mlio uza nchi yote, mwaka uhu hakuna msalia mtume mtanyooshwa, mpaka mnyooke,
 
Bila kubebwa na wajuzi wa kutoa hoja....kwenye kampeni Lowasa atakua kituko.....jamaa hawezi kabisa kutoa hoja...
 
Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?

Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.

Scan Data zako zimeliwa na Virus. Kama jina lako linavyojieleza.
 
Mtu yeyote anayesema lowasa ana uchu na madaraka, namuita mpumbav tu, sababu kila mgombea au chama kinataka kushika dola na sio kukaa nje na kupiga kelele. Walotawala miaka hamsini iliyopita na wanaandaa mazingira ya goli la mkono ndo wana uchu na madaraka

well said tungekuwa na watu 7 / 10 kama wewe siku nyingi ccm nje
 
nyinyi magamba acheni kuweweseka
uchu wa madaraka??? kama nyiny hamna uchu mngemuondoa mgombea wenuuu,,,,,,,,mbona wanafiki sana nyinyi.....NAMIMI NASEMA MTAISOMA THIS YEAR
 
upo kama jina lako umedata sijui maharage ya wapi ?

Watanzania MUNGU ametujalia busara tu ya kuweza litumia box la kura vizuri. Mwache aendelee pambwa na washabiki hewa.
 
CCM na serikali kwa ujumla haiendeshwe na mtu mmoja, ni taasisi

Kweli tasisi ya familia na marafiki zake
a.k.a ccm kitengo ndo wasio wanafamilia
au marafiki zao wanaondoka ccm kila kona
ya nchi
 
Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?

Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.

acha kutusemea ukawa ,nenda kwa Gambas wenzio hili so kundi lako ,Bundi na njiwa wapi na wapi .
 
uchu wa madaraka tu, sijui ikulu kuna nini. sana sana ataiba ili alipe fadhila kwa matajiri. Watanzania tuamke, kamwe amaetumia mbinu na nguvu nyingi kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma

Kwan akiiba kama wengn kwa ridhaa ya wa tz walio weng kuna shida gani?tena akiiba ataiba kidogo si kama hawa........nasema sisiem basi !
 
Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?

Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.

Maneno gani?mkwere mwenyewe anampango wa kuamia CDM
 
Tukisema huyu mtu ana tamaa na madaraka tu na wala hana ahadi za wananchi,watu watanuna,lakini huyu mzee ile ngozi ya kondoo aliyo vaa miaka yote,imechakaa tunaona madoa doa ya chui sasa
 
Back
Top Bottom