G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,276
- 38,847
Huu ujinga uliofanywa na wapumbavu wasiojielewa na matahira waliojiita wakatoliki nitashangaa sana kama utaachwa hivi hivi.
Wanaoweza kufanya upumbavu kama huo ni watu matahira wasiojua wanachofanya. Sisi kama taifa tumefika mbali kwenye hatua za kutekwa na upumbavu. Kama nchi yapo mambo mengi ya kijinga jinga ambayo tunayaendekeza.
Yaliyotokea October 29 yalikuwa ni majumuisho ya mambo mengi ya kijinga jinga kama utekaji na kunyimwa haki, sasa tumeanza kuingia tena kwenye ujinga mwingine wa kukashifu dini za watu kwa kualika makahaba kuwatumia ili wakachafue dini za watu. Huu ni ujinga!