Huu ugonjwa wa vipele unasumbua sana

Huu ugonjwa wa vipele unasumbua sana

Dawa ya scabies nyingine ni BBE kama inaweza saidia ijaribu

Hizo ni scabbies wala siyo fangus. Nenda pharmacy nunua sawa inaitwa Scaboma beinyake ni kuanzia 8,000 mpaka 15,000. Tumia wiki mbili. Usipopata nafuu nicheki nikuelekeze kwa mtaalam namba moja wa magonjwa ya ngozi. Fata maelekezo ya pharmacist. Ukipata nafuu usiache kuleta mrejesho.
 
Hivo vipele vimemuanzia iringa ambapo sidhani kama kuna joto...sasaivi yupo dar ndo hali mbaya mwili mzima unamuwasha
Atopic dermatitis hiyo. Je kuna ndugu yake mwenye historia ya asthma au aina hiyo ya ugonjwa.

Na kama Dar es Salaam inaongezeka ni kwasababu ya joto, jasho lake ni chanzo kikubwa.

Anatakiwa kuvaa nguo za cotton tu, kama yuko Dar es Salaam apake mafuta ya nazi all the time anapoona ngozi inakauka. Atumie sabuni ya mbuni au jamaa au shower gel, kufulia atumie sabuni ya kipande siyo ya unga
 
Back
Top Bottom