Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ama wa India

Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ama wa India

Nyie ndiyo mnatia nchi hii nuksi.Wahindi warudi kwao india,hapa Tanzania wanaganga njaa tu.

Harbinder sing seth-mwizi,Jeetu Patel mwizi,Manji mwizi,na maccm bado yanawakumbatia tu.

Hao waliokupua mahela ya escrow nao wote ni wahindi?
 
Mkuu, ubaguzi ni dhambi mbaya sana kuwahi kufanywa na binadamu. Imetugharimu kwa karne kadhaa na inaendelea kufanya hivyo. Tusitazamane kwa rangi wote tu Watanzania.

Ila wao watubague ni sahh?? unadhan ww unaweza kugombea india?
 
Back
Top Bottom