Behaviourist JF-Expert Member Apr 8, 2016 39,901 95,404 Dec 17, 2016 #1 Attachments FB_IMG_14819667601264952.jpg 20.2 KB · Views: 43
shamajengo JF-Expert Member Jan 17, 2015 1,217 1,431 Dec 17, 2016 #2 Kipanya jamani hivi anatutafutia nini jf hapo anataka tu watu wataje ugonjwa wenyewe afu yatupate
vollies JF-Expert Member May 31, 2015 748 446 Dec 17, 2016 #4 Kipanya ule ugonjwa wa nchi una chanjo au tiba?
D Deepro Member Nov 3, 2016 63 54 Dec 17, 2016 #8 shamajengo said: Kipanya jamani hivi anatutafutia nini jf hapo anataka tu watu wataje ugonjwa wenyewe afu yatupate Click to expand... Mi naujua ila sisemi mpaka bro Max na Ben saa 8 warudi ndo ntasema.
shamajengo said: Kipanya jamani hivi anatutafutia nini jf hapo anataka tu watu wataje ugonjwa wenyewe afu yatupate Click to expand... Mi naujua ila sisemi mpaka bro Max na Ben saa 8 warudi ndo ntasema.
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,515 6,489 Dec 17, 2016 #9 Usikute Kipanya tayari ameshakaliwa vikao kadhaa na wale jamaa jinsi ya ku deal naye, huku wakitafuta vifungu vya sheria za makaburu!
Usikute Kipanya tayari ameshakaliwa vikao kadhaa na wale jamaa jinsi ya ku deal naye, huku wakitafuta vifungu vya sheria za makaburu!