Vijana tuna tatizo kubwa la "REASONING". Leo hii mtu anawaita watanzania wajinga kwa kuto-embrace kutumia majiko ya umeme

Vijana tuna tatizo kubwa la "REASONING". Leo hii mtu anawaita watanzania wajinga kwa kuto-embrace kutumia majiko ya umeme

Kwamba anyekuuzia jiko la umeme yeye anatumia gas🤗🤗🤗🤗🤗
Sema nini kiuhalisia kupikia umeme gharama ni nafuu zaidi kuliko gas!!
Changamoto lazima uwe na Ka gas pembeni in case of Tanesco wakikuomba radhi kwa usumbufu😀😀😀😀😀
 
Kuna tapeli moja la kichina linaitwa Xi Jinping ndilo lilileta ujinga huu
Mimi nyumbani kwangu gesi ni back up tu. Ni mwendo wa induction cooker

Kuna unafuu wa kutumia umeme hasa induction cooker kuliko gesi ambazo nazo hivi karibuni tena zimepanda bei

Pambaneni na magesi yenu. Mpaka siku utakapokuja kutumia induction cooker ndio utanielewa
 
Kwa umeme upi wa maana?

Kwa umeme upi ulio reliable na effecient?

Acheni mihemuko palipokuwa na logic

Hata anaekuuzia jiko la umeme yeye anatumia gesi nyumbani.
Wewe ni analyst wa aina gani? Sidhani kama Tanzania kuna shida ya umeme kama wajinga wengi wanavyofikiri

Hatukatai kukatika huwa unakatika lakini tofauti ni hii

Siku na muda wa umeme kuwepo Tanzania ni nyingi saana kuliko kukosekana kwake
 
Back
Top Bottom