Huu sio unafki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu sio unafki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Hunter, Dec 31, 2010.

 1. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi nimesoma hotuba ya mkuu wa nchi, lakini nimestaajabu pale ye mwenyewe anapodai bado swala la matumizi makubwa linamsumbua, wakati huohuo yeye ndo amekuwa kinara wa matumizi mabaya, sasa la kujiuliza kuna wezekano figure za matumizi yake huwa zinaongezwa kwa manufaa ya watu flan? nikweli huwa hizo gharama za safari zake za kitalii hazijui, kwanini asiwemfano wa kuwa na matumizi mazuri kwanza!
  Me naona huu ni unafki na kujikosha ama anatafuta huruma ya Wadanganyika.
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Maisha haya hakuna jema, mchana nzi usiku mbu.
   
Loading...