Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 568
- 1,562
Kwa hakika Uchaguzi wa mwaka huu sio Uchaguzi bali ni kipimo cha Upumbavu wetu.
Wanasema Mjinga ukimuelimisha anaacha Ujinga, lakini Mjinga akirudia Ujinga hata baada ya kuelimishwa anageuka kua Mpumbavu.
Watanzania tumekua Wajinga kwa miaka mingi tena kila baada ya Uchaguzi Mkuu tunabaki kuwa Wajinga zaidi na zaidi.
Nasema tumekua Wajinga kwa sababu kila Uchaguzi Mkuu tunafanya kosa lilelile la kuichagua CCM ambayo na yenyewe imebaki kua ni ileile kama TOT.
Kila baada ya Uchaguzi Watanzania tumekua watu wa kuilalamikia CCM haifanyi kama ahadi zao wakati wa Kampeni, na hili tumejifunza kwa miaka mingi.
Sasa Uchaguzi wa mwaka huu sio Uchaguzi bali ni Kipimo cha Upumbavu wetu, Manaake tumekua wajinga kwa miaka mingi na hata baada ya kujifunza kua CCM haifai lakini tukabaki Wajinga. Uchaguzi mwaka huu una mambo Mawili tu aidha kuupandisha Ujinga wetu na kua Upumbavu kwa kurudia yaleyale ya kuichagua CCM au Uchaguzi kutufanya tuwe Watu wenye akiri ya kujifunza kutokana na Makosa tuliyoyafanya Chaguzi zilizopita ya Kuichagua CCM na kutufanya Wajinga kwa miaka mingi.
"Ama kweli Huu sio Uchaguzi bali ni Kipimo cha Upumbavu"