Huu Sio Uchaguzi, ni Kipimo cha Upumbavu

Huu Sio Uchaguzi, ni Kipimo cha Upumbavu

inabidi uweki vipaumbele,kipimo chako cha utawala bora nini,kipimo chak9o cha maendeleo nini,kipimo cha mabadiliko nini nchi ndogo tu za jirani zinaondoka tanzania imetia nanga inadidimia tu na watu kama nyie ndio9 mnahakikisha inamaliza good luck you are out of time
 
Kwa hakika Uchaguzi wa mwaka huu sio Uchaguzi bali ni kipimo cha Upumbavu wetu...

"Ama kweli Huu sio Uchaguzi bali ni Kipimo cha Upumbavu"
Na kweli, safari hii mtatukana hadi kwa kichina lakini ukweli utabaki kuwa CCM inakwenda na maji. Wengine wenu mnadhani mnatukana kumbe mnajitukana wenyewe. Sasa wewe Nyamsusa JB, unapotukana umati wote huu pia umekaa ukajiuliza kama ni kweli unayoyasema, ni nani huyo katufikisha hapa tulipo. Huna tofauti na Magufuli anayemsifia Kikwete kutufikisha hapa tulipo halafu eti anawashangaa mafisadi waliotufikisha hapo kumbe kubwa lao kakaa kulia kwake. Hebu nikuache na hizi picha uzitafakari kwa makini;

dodoma3.jpg

Dodoma.

Kigoma1.jpg
Kigoma.

nyomi2.jpg

Dar es Salaam.

View attachment 286267

Singida.

ruvuma2.jpg

Ruvuma.

Sidhani kama kuna haja ya kuendelea, tunachoomba CCM isituletee machafuko, wakubali kuachia madaraka kwa amani...miaka hamsini ya wizi, ulaghai na manyanyaso mwisho Oktoba 2015!
Tatizo lenu kubwa wengine ni kwamba hamjui mabadiliko ni kitu gani.
 

Attachments

  • nyomi1.jpg
    nyomi1.jpg
    188.2 KB · Views: 82
Kwa hakika Uchaguzi wa mwaka huu sio Uchaguzi bali ni kipimo cha Upumbavu wetu.

Wanasema Mjinga ukimuelimisha anaacha Ujinga, lakini Mjinga akirudia Ujinga hata baada ya kuelimishwa anageuka kua Mpumbavu.

Watanzania tumekua Wajinga kwa miaka mingi tena kila baada ya Uchaguzi Mkuu tunabaki kuwa Wajinga zaidi na zaidi.
Nasema tumekua Wajinga kwa sababu kila Uchaguzi Mkuu tunafanya kosa lilelile la kuichagua CCM ambayo na yenyewe imebaki kua ni ileile kama TOT.

Kila baada ya Uchaguzi Watanzania tumekua watu wa kuilalamikia CCM haifanyi kama ahadi zao wakati wa Kampeni, na hili tumejifunza kwa miaka mingi.

Sasa Uchaguzi wa mwaka huu sio Uchaguzi bali ni Kipimo cha Upumbavu wetu, Manaake tumekua wajinga kwa miaka mingi na hata baada ya kujifunza kua CCM haifai lakini tukabaki Wajinga. Uchaguzi mwaka huu una mambo Mawili tu aidha kuupandisha Ujinga wetu na kua Upumbavu kwa kurudia yaleyale ya kuichagua CCM au Uchaguzi kutufanya tuwe Watu wenye akiri ya kujifunza kutokana na Makosa tuliyoyafanya Chaguzi zilizopita ya Kuichagua CCM na kutufanya Wajinga kwa miaka mingi.

"Ama kweli Huu sio Uchaguzi bali ni Kipimo cha Upumbavu"
Yaani kwa jinsi ulivyoandika basi nimethibitisha kabisa ya kwamba "JF is a home of Great Thinkers". Big up Nyamsusa JF! Wacha tuwaamshe wapumbavu na hata wale kunguni wengine . #Tutawasomesha namba
 
Acha matusi,wewe uliekuwa unakipigia kura hicho chama ndio mpumbavu.

Kutusi watu kwa mgongo wa kuiponda ccm hakukufanyi uwe mjanja/kamanda mkamanda wa kweli wanajenga hoja na kuisimamia mpaka mauti.

mkuu sikuhizi pumbavu au lofa sio tusi ni kivumishi tu
 
upumbavu ni kuchagua fisadi kisa kabadili jezi,,,kura safari hii mtapata za wasela mavi tu,,ila mtu timamu hawezi akaacha magufuli halafu achague Jizi

kama kipimo cha ueledi wako ndo hichi, basi ww ni mbumbu kabisaaaaa!
 
Aisee bora niwe mpumbavu, ila Sichagui CCM A wala CCM B (a.k.a UKAWA WACHUMIA TUMBO).
 
ahadi zilezile WATU walewale ila wanatumia CHAMA TOFAUTI!!! bora nichague chama kilekile kwa kuwa "wenyechama" wameondoka.. mara 100 Magufuli ambae hajawahi hata kuwa mwenyekiti wa kijiji wa chama (so atatetea watanzania sio CHAMA)
 
Back
Top Bottom