Huu Sio Uchaguzi, ni Kipimo cha Upumbavu

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Kwa hakika Uchaguzi wa mwaka huu sio Uchaguzi bali ni kipimo cha Upumbavu wetu.

Wanasema Mjinga ukimuelimisha anaacha Ujinga, lakini Mjinga akirudia Ujinga hata baada ya kuelimishwa anageuka kua Mpumbavu.

Watanzania tumekua Wajinga kwa miaka mingi tena kila baada ya Uchaguzi Mkuu tunabaki kuwa Wajinga zaidi na zaidi.
Nasema tumekua Wajinga kwa sababu kila Uchaguzi Mkuu tunafanya kosa lilelile la kuichagua CCM ambayo na yenyewe imebaki kua ni ileile kama TOT.

Kila baada ya Uchaguzi Watanzania tumekua watu wa kuilalamikia CCM haifanyi kama ahadi zao wakati wa Kampeni, na hili tumejifunza kwa miaka mingi.

Sasa Uchaguzi wa mwaka huu sio Uchaguzi bali ni Kipimo cha Upumbavu wetu, Manaake tumekua wajinga kwa miaka mingi na hata baada ya kujifunza kua CCM haifai lakini tukabaki Wajinga. Uchaguzi mwaka huu una mambo Mawili tu aidha kuupandisha Ujinga wetu na kua Upumbavu kwa kurudia yaleyale ya kuichagua CCM au Uchaguzi kutufanya tuwe Watu wenye akiri ya kujifunza kutokana na Makosa tuliyoyafanya Chaguzi zilizopita ya Kuichagua CCM na kutufanya Wajinga kwa miaka mingi.

"Ama kweli Huu sio Uchaguzi bali ni Kipimo cha Upumbavu"
 
Nyamsusa JB

Tatizo wewe umekalili unadhan kwamba werevu wote wapo chadema hata kule ccm wapo
 
Last edited by a moderator:
Tumchagueni HASHIM lungwe sasa,, maana kuwa mwerevu ni kuchagua ukawa ya walewale waliokuwa wanatuletea hizo taabu wakiwa CCM,, nä ukumbuke pia tuliambiwa tukimchagua LOWASSA tukapimwe akili by MCH MSIGWA..
 
Mnamtesa sana huyu mzee mlaaniwe enyi nyote mnaotaka madaraka kwa style ya " heri punda afe lakini mzigo ufike"
 
Mpumbavu na lofa ni yule anayetarajia mawaziri wakuu waliowekwa pembeni kutokana na kushindwa kuperform wanaweza kuwaletea mabadiliko.
 
Babu Lowassa amebaki kuburuzwa bora liende ..urais ni kazi na wanapewa wenye kufanya kazi na si wanaoburuta miguu
 
Tumchagueni HASHIM lungwe sasa,, maana kuwa mwerevu ni kuchagua ukawa ya walewale waliokuwa wanatuletea hizo taabu wakiwa CCM,, nä ukumbuke pia tuliambiwa tukimchagua LOWASSA tukapimwe akili by MCH MSIGWA..

hahaahahahaaah!!!!! Mbavu zanguuuuuuu....ur so funny......
 
Kwa hakika Uchaguzi wa mwaka huu sio Uchaguzi bali ni kipimo cha Upumbavu wetu.

Wanasema Mjinga ukimuelimisha anaacha Ujinga, lakini Mjinga akirudia Ujinga hata baada ya kuelimishwa anageuka kua Mpumbavu.

Watanzania tumekua Wajinga kwa miaka mingi tena kila baada ya Uchaguzi Mkuu tunabaki kuwa Wajinga zaidi na zaidi.
Nasema tumekua Wajinga kwa sababu kila Uchaguzi Mkuu tunafanya kosa lilelile la kuichagua CCM ambayo na yenyewe imebaki kua ni ileile kama TOT.

Kila baada ya Uchaguzi Watanzania tumekua watu wa kuilalamikia CCM haifanyi kama ahadi zao wakati wa Kampeni, na hili tumejifunza kwa miaka mingi.

Sasa Uchaguzi wa mwaka huu sio Uchaguzi bali ni Kipimo cha Upumbavu wetu, Manaake tumekua wajinga kwa miaka mingi na hata baada ya kujifunza kua CCM haifai lakini tukabaki Wajinga. Uchaguzi mwaka huu una mambo Mawili tu aidha kuupandisha Ujinga wetu na kua Upumbavu kwa kurudia yaleyale ya kuichagua CCM au Uchaguzi kutufanya tuwe Watu wenye akiri ya kujifunza kutokana na Makosa tuliyoyafanya Chaguzi zilizopita ya Kuichagua CCM na kutufanya Wajinga kwa miaka mingi.

"Ama kweli Huu sio Uchaguzi bali ni Kipimo cha Upumbavu"
mkuu mbona mkapa kwa kutumia uzoefu wake wa kuliongoza Taifa hili kwa miaka kumi ameshaconclude Kwamba watanzania ni malofa na wapumbavu

Wewe huoni tunavyoshabikia ahadi zile zile za watu wale wale na chama kile kile?sisi ni wapumbavu kweli kweli
 
Wewe tayari umeonesha si tu kwamba ni mpumbavu bali mpumbavu aliyepitiliza hata kabla ya uchaguzi.

Kama upinzani nao umesimamisha waliyetuambia ni fisadi papa kwa miaka yote bado unategemea nini kipya kutoka huko?

Kama mbadala halisi wa CCM na matendo yake utapatikana,CCM itang'oka bila hata kutumia nguvu kubwa kama hivi sasa.

Wenye akili timamu hatuhitaji mabadiliko tu bali MABADILIKO CHANYA maanake hata WORSE to WORST nayo ni mabadiliko pia.
 
Nadhani upumbavu zaidi ni pale utakapomchaguwa kiongozi ambaye amekutesa kwa miaka mingi zaidi alipokuwa ccm lakini kwa sasa akikuaminisha kuwa siyo yeye amebadilika. Huu ndio utakuwa upumbavu wa karne.ni bora umchaguwe Hashim Rungwe wa Chauma kama huitaki ccm kuliko Edward lowassa wa chadema.
 
Ndo mbinu zenu za kugawa kura za wapinzani.
 
upumbavu ni kuchagua fisadi kisa kabadili jezi,,,kura safari hii mtapata za wasela mavi tu,,ila mtu timamu hawezi akaacha magufuli halafu achague Jizi

maguful mwenyew ni jizi lililojivika kilemba cha uzalendo kumbe ni li dikteta na tena limezungukwa na mafisadi na majambazi na wezi.

magufuli atawekwa na mafisadi na ataambulia kuiskia ikulu kwny star tv.

haya kenge ww lowassa alikuibia mamaako??
 
Ila safari hii mtu kama sio kula kulala kama rizone na wengine matoto ya maccm, kama ni mtu wa kihustle ukiipigia kura ccm ujipeleke mwenyewe mirembe wakakufanyie mental status examinatons, utakua sio mzima

Siyo kuipigia kura ccm bali ni kumpigia kura Magufuli.
Lakini pia ni vema ukajifunza kuto kukurupuka.
 
Back
Top Bottom