Huu Sio Uchaguzi, ni Kipimo cha Upumbavu

Huu Sio Uchaguzi, ni Kipimo cha Upumbavu

UPUMBAVU NI
1.KUWACHAGUA WAGOMBEA WALIOPITISHWA NA TUMESYA MAADAILI SSM WAKATI WALIKILI KUPATA MKAGO WA FEDHA ZA ESRO NA KUITA FEDHA ZA MBOGA
2.KWA KUICHAGUA SSM AMBAYO HAIJA WEKA WAZI WALIOBEBA FEDHA KWENYE MASANDARUSI NI AKINA NANI
3.KWA KUICHAGUA SSM AMBYO INAAHIDI MIL150 KILA KATA NA 50mil KILA KIJIJI HUKU WAALIMU WAKO TAABANI WANAIDAI HAIJAWALIPA FEDHA ZAO
4.KWA KUICHAGUA SSM AMBAYO INAONA MAHITAJI YA WAALIMU NI LAPTOP
5.KWA KUWACHAGUA WAGOMBEA WA CCM AMBAO WANASEMA SERIKALI ITAJENGA RELI KWA KIWA CHA LAMI
 
Afadhali fisadi unayemujua kuliko mwenye maringo na udikiteta vilivyojificha ndani. Vikijitokeza mtakoma.
 
maguful mwenyew ni jizi lililojivika kilemba cha uzalendo kumbe ni li dikteta na tena limezungukwa na mafisadi na majambazi na wezi.

magufuli atawekwa na mafisadi na ataambulia kuiskia ikulu kwny star tv.

haya kenge ww lowassa alikuibia mamaako??

povu jiiingi
 
Kwa hakika Uchaguzi wa mwaka huu sio Uchaguzi bali ni kipimo cha Upumbavu wetu.

Wanasema Mjinga ukimuelimisha anaacha Ujinga, lakini Mjinga akirudia Ujinga hata baada ya kuelimishwa anageuka kua Mpumbavu.

Watanzania tumekua Wajinga kwa miaka mingi tena kila baada ya Uchaguzi Mkuu tunabaki kuwa Wajinga zaidi na zaidi.
Nasema tumekua Wajinga kwa sababu kila Uchaguzi Mkuu tunafanya kosa lilelile la kuichagua CCM ambayo na yenyewe imebaki kua ni ileile kama TOT.

Kila baada ya Uchaguzi Watanzania tumekua watu wa kuilalamikia CCM haifanyi kama ahadi zao wakati wa Kampeni, na hili tumejifunza kwa miaka mingi.

Sasa Uchaguzi wa mwaka huu sio Uchaguzi bali ni Kipimo cha Upumbavu wetu, Manaake tumekua wajinga kwa miaka mingi na hata baada ya kujifunza kua CCM haifai lakini tukabaki Wajinga. Uchaguzi mwaka huu una mambo Mawili tu aidha kuupandisha Ujinga wetu na kua Upumbavu kwa kurudia yaleyale ya kuichagua CCM au Uchaguzi kutufanya tuwe Watu wenye akiri ya kujifunza kutokana na Makosa tuliyoyafanya Chaguzi zilizopita ya Kuichagua CCM na kutufanya Wajinga kwa miaka mingi.

"Ama kweli Huu sio Uchaguzi bali ni Kipimo cha Upumbavu"

Hivi tatizo ni ccm ama machaguo yetu huko majimboni? Kwani waliokuwa wakichagua si wale wale ukiwemo na wewe? Sasa kama ni wale wale someni alama za Nyakati kuwa hatuhitaji kubadili chama hata pale ambapo tumempata mtu ambaye amezaliwa kwa kazi tu, sura yake kazi tuu na wavivu tumeshakaa mkao wa kazi tuu. Usitutoe kwenye stimu ya kazi. Kipimo cha utu ni kazi tuu siyo mtandao wa urafiki. Ukiwa wa kazi tu unaonekana kwa jinsi wanavyokukimbia na siyo kukukimbilia. Hapa KAZI TUUU. Mimi nyumbani kwangu tukiamka asubuhi ukisema shikamoo unajibiwa HAPA KAZI TU Marahaba dalili za uvivu!
 
Ila safari hii mtu kama sio kula kulala kama rizone na wengine matoto ya maccm, kama ni mtu wa kihustle ukiipigia kura ccm ujipeleke mwenyewe mirembe wakakufanyie mental status examinatons, utakua sio mzima

Kweli watu wakichagua ccm laana kuu italitawala taifa na watu wake
 
Acha matusi,wewe uliekuwa unakipigia kura hicho chama ndio mpumbavu.

Kutusi watu kwa mgongo wa kuiponda ccm hakukufanyi uwe mjanja/kamanda mkamanda wa kweli wanajenga hoja na kuisimamia mpaka mauti.
 
Watz bwana ccm pamoja na kashifa za nyumba.escrow.epa.richmond.wanyama kama tembo na twiga.madini yetu.nchi kama kenya kuuza tanzanite kama tz hakuna mtz m mwenye uwezo wa kufanya kazi hiyo. Ni mabadiriko ya nguvu yanahitajika tz tuweze kujipanga kupitia chwdema
 
upumbavu ni kuchagua fisadi kisa kabadili jezi,,,kura safari hii mtapata za wasela mavi tu,,ila mtu timamu hawezi akaacha magufuli halafu achague Jizi

fisadi alietoloka chuo chaufisadi (ccm) ni bora acha kukalili bas
 
Siyo kuipigia kura ccm bali ni kumpigia kura Magufuli.
Lakini pia ni vema ukajifunza kuto kukurupuka.
Wewe kilaza kula kulala, kuna kitu umeona nimekurupuka hapo, jinga sana
 
Nakubaliana nawe 100%. Hata ivyo tulishaitwa marofa na mapumbafu....wanasubili ilo lialalishwe au likataliwe. .
 
tatizo watanzania wamejengwa katika misingi ya khofu sana,tunashindwa kuwa na maamuzi tafauti,tumeathirika kisaikolojia kwetu ni kosa kuwa na mawazo tafauti na watawala,ni kweli huu sasa ni upumbavu ujinga tulishaupita. ikiwa mpaka sasa una mapenzi na imani kuwa ccm itabadilisha chochote inchi hii basi huna haja ya kwenda kupima akili weka tik tu hapo hapo wewe ni taahira
 
tatizo watanzania wamejengwa katika misingi ya khofu sana,tunashindwa kuwa na maamuzi tafauti,tumeathirika kisaikolojia kwetu ni kosa kuwa na mawazo tafauti na watawala,ni kweli huu sasa ni upumbavu ujinga tulishaupita. ikiwa mpaka sasa una mapenzi na imani kuwa ccm itabadilisha chochote inchi hii basi huna haja ya kwenda kupima akili weka tik tu hapo hapo wewe ni taahira

wewe utakuwa tahiira wa kwanza.
 
Back
Top Bottom