Huu sio ubinadamu kabisa

Hata Kama wazazi wake Wana Hali mbaya kiuchumi haikusababishi yeye kufunnja Sheria zilizowekwa na chuo .

Kimsingi atafukuzwa tu akasadiane kilimo hukoo kwao



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tobaaa!
 
Ndio maana wahasibu wengi ni sufuri hata excel inawasumbua
Sikupingi lakini utambue uhasibu una misingi yake na una njia zake usipozijua utaishia jela excel na mambo ya computer ni vitu vya kujifunza unaweza jua kwa sana au usijue i ategemea nguvu umeiwekeza wapi na akili imetulia kiasi gani. Ukikuta muhasibu hajua accounting principal basi huyo hakuwa na nia ya uhasibu kaenda kusoma basi tu
 
ulipaswa kuifuatilia kimyakimya ila kuileta hapa kunafanya mamlaka kutolea macho jambo lako hivyo kuwa gumu kusamehewa.
 
Sema tu ni wewe Ili usaidiwe..

anyway, Mimi ni lecturer hapo MUST na Ndie niliekukamata na simu.. umeona uje huku jeiefu ukidhani sipo? Hili suala nakuhakikishia ntalivalia njuga hadi ufukuzwe chuo
Kakosea sana,kulileta humu,kamwagia mafuta kwenye moto,yangeishia hukohuko nje ya JF.
 
Nakumbuka mhadhiri wangu kesi kama hizo anasema I don't have time to waste,ndo imeisha hiyo
Pole sana jaribu kuwafata na kuongea nao sababu ya kufanya uingie na simu,simu ndogo bado sio sababu
 
Jambo hilo limewahi kunikuta nikiwa mwaka wa tatu chuo kimoja huko huko mbeya, niliingia na simu,smartphone kwa bahati mbaya wala sikudhamiria, wakati mtihani unaendelea alarm ilianza kuita na sms zikaanza kuingia, japo ilikuwa baridi sana lakini jasho lilinitoka hasia kwenye viganja, walimu wawi wakawa wanakuja kuisikilizia sauti inatoka wapi, nikajisemea potelea pote nikaibinya simu kwa nguvu kwenye kioo hadi ikastaki. walimu hawakuniona,baadaya mufa nikaomba ruhusa kwenda chooni, nikaiacha simu huko nikarusi kuendelea na mtihani. kwa kweli nilikuwa nauona mwisho wangu wa kupaya degree lakini Mungu alinisaidia na sasa nalitumikia Taifa kama kawaida.
 
Huyo Jamaa wa baby care dronedrake lazima katupanga tu , Chuoni Special lazima iwepo
bila sababu maalum, hakuna special, jamaa alichanganya timeTable, huo ni uzembe mzee ngoma inasoma INCOMPLETE, disco moja kwa moko,
sijakupanga mzee, ngoma ilikua 2014 iyo, bibo moja

kwa sababu maalum mara nyingi unapewa uje ufanye Sup
 
Sema tu ni wewe Ili usaidiwe..

anyway, Mimi ni lecturer hapo MUST na Ndie niliekukamata na simu.. umeona uje huku jeiefu ukidhani sipo? Hili suala nakuhakikishia ntalivalia njuga hadi ufukuzwe chuo
lecturer nakuonaga ukiporomosha matusi uzi wa wazee wa kubet
 

Sheria ni sheria tu, tena wakimfukuza nitawapongeza, maana wamesimamia kanuni.
 
bila sababu maalum, hakuna special, jamaa alichanganya timeTable, huo ni uzembe mzee ngoma inasoma INCOMPLETE, disco moja kwa moko,
sijakupanga mzee, ngoma ilikua 2014 iyo, bibo moja

kwa sababu maalum mara nyingi unapewa uje ufanye Sup
Ulisoma course ipi hapo UD bwana Dronedrake?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…