Huu sio ubinadamu kabisa

Jinsi alivonieleza,na alizungumza na mwalimu kabla ya mambo hayajawa mazito lakini ilkuwa bado ngumu Kwa mkamataji

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Wanafunzi wa MUST tupo apa tunawaangalia tu kashikwa na mnyama nnπŸ˜€
 
Boraa angechana afu angempa mpyaa.,
 
Unanikumbusha CR wangu akiitwa Mazige, tulikuwa na Sap ya Bio-chemistry, pale freedom square.

Alikuwa na mathematical set, kumbe ndani ina nondo, mimi sijui yule prof alimstukiaje, mimi niliona tu ukaguzi zaidi ya afisa upelelezi.

Mwisho wa siku ile nondo ilibanwa kwenye pepa yake, japo aliruhusiwa na alimalizia kufanya huo mtihani.

Mwisho wa siku ni kuliwa kichwa asubuhi na mapema kabla Masihi hajasulibiwa.
 
Sema tu ni wewe Ili usaidiwe..

anyway, Mimi ni lecturer hapo MUST na Ndie niliekukamata na simu.. umeona uje huku jeiefu ukidhani sipo? Hili suala nakuhakikishia ntalivalia njuga hadi ufukuzwe chuo
Utarogwa wewe, acha zako
 
Inajulikana wazi haitakiwi kuingia na simu kwenye chumba cha mtihani. Alaumiwe mwenyewe kwa uzembe wake.
Mambo ya kizamani kuzuia ma simu vyumba vya mtihani. Simu ukiingia inatakiwa iwe silence au zima.. walimu wa copy and paste wanaa sana, kuna paper unapewa hata upewe laptop kama huna akili hutoboi
 
Mambo ya kizamani kuzuia ma simu vyumba vya mtihani. Simu ukiingia inatakiwa iwe silence au zima.. walimu wa copy and paste wanaa sana, kuna paper unapewa hata upewe laptop kama huna akili hutoboi
Hawajui tu simu Kama huna Akili hautoboi Mimi necta zangu zote 4M4 na 4M6 nimeingia na simu nilikuwa naizima natia katika pensi pembeni ya pumbu
 
Hujui reaction gani ilitokea alipo dakwa.. wengine wanakuwa watata badala ya kujifanya fala lipite.
Kila nikiwaza mambo ya nondo, nakosa nguvu,
Ilikua accidentally 4m 4 Necta, pepa la bios

Sasa watu wa nyuma yangu walikua wanapeana vimemo vya majibu, sasa wa nyuma ktk kurusha karatasi ikampita ikaja kutua chini ya kiti changu,

Wasiseme, msimamizi kupita akaona kuokotaa hivi kukuta baadhi ya majibu, pale pale akanisimamisha, kunihoji mie hata sielewi, mara akasema nakutoa nje, nlilia na kuomba msamaha, nashukuru alinielewa,

Sitaki kukumbukaaa, uwiiiiih, hapo ubinadamu utumike tyuuh.
 
Huyo dogo ni wewe.

Cha kufanya ni Kama walivyoshauri uonane na Dean of students , umueleze ukweli atajua cha kukusaidia. Hakuna namna nyingine na uwe tayari kukubaliana na matokeo maana Dunia haijawahi kuwa na huruma
 
Watu tulikuwa tunaiba booklete inajazwa kila kitu, unaingia nayo, ile unayoepewa unaipiga chini unaanza tumia uliyo ingia nayoo... then unaomba booklet ingine unapanga sasa majibu vizuri πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… shule raha sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…